Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niko poa sana Mkuu..

Actually i am so happy today..

There is nothing as great as when you do something at the end it made you realize the other side of yourself...

I am no longer the same feeling 🤩
Glory to God 🙌
who made the heavens and earth .

"Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony."

keep up the spirit 💪
 
Hahaha nimecheka Sana baada ya kusoma comment hi; ndo nakata simu ya mwanangu hapa ananiambia yuko njiani anaelekea kitambaa hapo kubambia.
Kitambaaa pana noga sana aisee, ile kiswazi swazi.. navuta mda ifike saa saba usiku zinaanza oparation maalumu.. huwa kuna mizigo inamwagika mzee hatari tupu unaweza shindwa wa kuchagua wa kuondoka nae 😅😅😅
 
Kitambaaa pana noga sana aisee, ile kiswazi swazi.. navuta mda ifike saa saba usiku zinaanza oparation maalumu.. huwa kuna mizigo inamwagika mzee hatari tupu unaweza shindwa wa kuchagua wa kuondoka nae 😅😅😅
Huyo dada anayemilikli kitambaa kazikausha bar zote za sinza aise!!

Huyo mganga wake aendelee kumkamatilia.
 
Huyo dada anayemilikli kitambaa kazikausha bar zote za sinza aise!!

Huyo mganga wake aendelee kumkamatilia.
😅😅😅 Sijui katumia mbinu gani, huwezi amini Kona Bar nakuboreshwa vile lakini hakuna maajabu pamepoa kinoma watu wote kitambaa sijui kafanyaje tu yule dada.. Kuna siku nimeenda kona bar saa nane nikasema labda patakuwa pamewaka lakini wapi
 
images-1.jpeg
 
I am overwhelmingly feeling good Mkuu,

I normally get crazy when i go throguh a situation like...

Nasubiri weekend nikajipongeze kwa misosi ya nguvu...
Ooh my , I love hearing good news..
go out and spoil yourself .

Enjoy to the fullest 😊

weekend imeanza , what are you waiting for 😂😂
 
😅😅😅 Sijui katumia mbinu gani, huwezi amini Kona Bar nakuboreshwa vile lakini hakuna maajabu pamepoa kinoma watu wote kitambaa sijui kafanyaje tu yule dada.. Kuna siku nimeenda kona bar saa nane nikasema labda patakuwa pamewaka lakini wapi
Pisi zote za corner bar zimehamia kitambaa!

Corner bar ilikuwa miaka ile ya 2012;
 
That's the definition of integrity also...

Kwa hiyo being integral is equal to being happy. ☺

Thank you Mkuu for sharing this wonderful insight
Thank you too bro
I always get excited nikisikia good news
Just be grateful to God 🙏
 
Pisi zote za corner bar zimehamia kitambaa!

Corner bar ilikuwa miaka ile ya 2012;
Sure hiyo miaka ilikuwa imewaka kishenzi, nakumbuka enzi hizo hata wanyama hotel ilikuwa kwenye pick, enzi hizo tunachukua mademu pale tunalala nao wanyama hotel pale, aisee ilikuwa ni 🔥🔥🔥 ila wale mabaunsa wa kona bar nao wamedumu sana malaya wanaenda na kuisha ila wala. Mabaunsa wawili huwa wapo tu yule white na yule jama kajaa sana mfup wanamuita Mawazo 😅😅
 
Nimecheka kinoma; yule white si ndo rasta sikuhizi kanyoa, yes na mwenzake yule.

Kumbe nawe kitambo kwenye gemu! Majuzikati nilikuwa na mwanangu mmoja na mwambia umemuona huyu sista toka nasoma chuo miaka Hiyo namkuta hapa; anamiaka si chini ya kumi sijui Nyapu yake uko inahali Gani kwa Sasa. Hataki kustaafu kabisa.
😅😅😅😅 Kitambo sana wananijua vizuri, nikifika sipati taabu yani napata 5 star treatment.. Huyo wa zaidi ya miaka 10 kaishajikatia tamaa, kuna mbususu pale nina zimiss sana bahati mbaya zimeolewa sasa hivi.. Kuna mmoja ilikuwa mke wa msoja, ilikuwa kila asubuhi kabla ya kwenda job tunakutana nayo kuna ki guest kipo pale sinza mugabe naweka ndio naenda job.. 🤣🤣🤣 Siku mmeweka alivyorudi toka sudan akanifungua madirisha kabisa, kona bar imetulea wengi sana 🤣🤣
 
Pale sikuhizi Kuna mwanangu kinoma nilipotezana nae afu Kuna issues nilikuwa napiga nae ndo mara nyingi huwa narudi Rudi muangalia Kama ntamuona ila hollah.

Siku ukinionea usisite kunitaarifu mdau. Hahaha kwa ustar wako apo ambiance inawezekana unamjua anaitwa fetty ana tattoo mkononi na kidoti Kama cha DC jokate.
😅😅😅😅 Na mkukula tayari.. Pale hata mie kuna mwanangu mmoja kila akitoka kutafuta liziki brake ya kwanza anaenda nitafutia pale.. Huwa nikikutana nae nacheka sana..
 
Jasiri aachi asili.
Endelea kuzisasambua tu mdau.


wife ndo kanipunguza sana speed.
Ukiwa na wife inabidi kutulia, mambo mengi. Mie nasema madam nipo alone naweza fanya uchafu wowote ule kwasababu sina wa kumuumiza, ila mda ambao nakuwa na mtu mke ndoa, kila kitu naacha.. Nabaki na wife nisije kuumiza mtu asie na hatia
 
Back
Top Bottom