National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Huku nakula muziki mzuri
Ingekuwa miaka yetu tunapewa Vyeti ya kuzaliwa kama ninyi ningekuonesha Cheti changu, Sasa miaka Ile ya Mkoloni tunazaliwa hatupewi Cheti zaidi ya kuchomwa zile Sindano za Ndui 🤪🙊Acha fiksi
Ewe kijana
Yaaan dah ebu ngoja kwanza niupitie tena nije kukupa hint kidogo😂😂😂😂 kuwa kilaza sio kosaHapana sina hata! Kwani unahusu nini Unajua venye nipogo kilaza eeh!! Hebu nieleweshe kwanza 🤔
Nobody is your friend untill they defend your name in your absence!!ADUI YAKO RAFIKI YANGU KUWA MAKINI UNACHOSEMA
Kwani hyo miziki unamalizaga ukaisha wote au maana au unaplay nusu nusu😂😂😂😂Huku nakula muziki mzuriView attachment 2420340
Sawa! The way navoupenda hata uwe wa kutoa damu mapenzi siachi kuusikilizaa ! Naupenda tu kiukweli!Yaaan dah ebu ngoja kwanza niupitie tena nije kukupa hint kidogo😂😂😂😂 kuwa kilaza sio kosa
Na kulia utalia ww ukiambiwa maana nahisiSawa! The way navoupenda hata uwe wa kutoa damu mapenzi siachi kuusikilizaa ! Naupenda tu kiukweli!
Siachi kuusikilizaaaaa hata iwejeeee! Mie sisikilizi ujumbe wake hata naupenda tu !!Na kulia utalia ww ukiambiwa maana nahisi
Kilaza kwenye ubora wako😂😂😂😂 ubora wa kupendwa, kupenda na kupapatukiwa😂😂🥲Siachi kuusikilizaaaaa hata iwejeeee! Mie sisikilizi ujumbe wake hata naupenda tu !!
Yanii mie kilaza typically!!Kilaza kwenye ubora wako😂😂😂😂 ubora wa kupendwa, kupenda na kupapatukiwa😂😂🥲
Na ukilaza wako ila si kuna watu wanapenda na wanakupapatukia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏Yanii mie kilaza typically!!
Kupapatukia maana yake nini???? Sijui kama napendwa Kwani siwezi usemea moyo wa mtu kiza kineneNa ukilaza wako ila si kuna watu wanapenda na wanakupapatukia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏
Ukanqmbia me sina mwanyaUnganisheni na yale macho 🤪 Nuzulati View attachment 2036256
Aahhh sa mbona me niko mbali hivi jaman
😊😊 Vije vinne itapendeza kama wewe upo mbali, ila najua umenitupa kisomi.. Leo weekend mapema kabisaAahhh sa mbona me niko mbali hivi jaman
Savanna zimenipita hivi hivi naziona
Au nikuitie kadogo changu cha ARU hapo kakuchangamshe
Zina play 3/4Kwani hyo miziki unamalizaga ukaisha wote au maana au unaplay nusu nusu😂😂😂😂
Vinne??? Vyote hivo jaman😊😊 Vije vinne itapendeza kama wewe upo mbali, ila najua umenitupa kisomi.. Leo weekend mapema kabisa