National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Mumama wa JF alie samaki samaki, aje nimnunulie Savana badae nimpeleke Spur tukale mbavu
Mbona mapema dearUsiku mwema wapendwa!!
picha nzuriNikinong'oneza dogo..
View attachment 2420416
I'm okay how about you ?Ahsante Mkuu,
Good to see you ukiendelea kulipamba jukwaa..
Natumai uko poa..
Shanga ni moja ya chachu kwenye mapenzi, sikuwa nazipenda kabisa, paka kuna siku nilipokutana na mtoto mmoja kavaa shanga moja matata.. Kwisha habari yangu, nimejikuta mdada bila kashanga hata kamoja kama simuelewi vile![]()
Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka. Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika...www.jamiiforums.com
Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi
Team spotifyHuku nakula muziki mzuriView attachment 2420340
Shanga ivaliwe kwenye kiuno cha nyigu na sio mwenye kitambi cha michemsho na bia za bureShanga ni moja ya chachu kwenye mapenzi, sikuwa nazipenda kabisa, paka kuna siku nilipokutana na mtoto mmoja kavaa shanga moja matata.. Kwisha habari yangu, nimejikuta mdada bila kashanga hata kamoja kama simuelewi vile
Ewaaaa, kiuno nyigu ni hatari mwanawane, alafu awe anajua ku bend mmh! Ni hatari.. Mwanawane Mzee wa kupambania badae nasogea kitambaa cheupe.. kuangalia kiuno nyigu 😄😄Shanga ivaliwe kwenye kiuno cha nyigu na sio mwenye kitambi cha michemsho na bia za bure
Ooh that's wonderful , I'm happy for you dude .Niko poa sana Mkuu..
Actually i am so happy today..
There is nothing as great as when you do something at the end it made you realize the other side of yourself...
I am no longer the same feeling 🤩
Hahaha nimecheka Sana baada ya kusoma comment hi; ndo nakata simu ya mwanangu hapa ananiambia yuko njiani anaelekea kitambaa hapo kubambia.Ewaaaa, kiuno nyigu ni hatari mwanawane, alafu awe anajua ku bend mmh! Ni hatari.. Mwanawane Mzee wa kupambania badae nasogea kitambaa cheupe.. kuangalia kiuno nyigu 😄😄