Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hawana amsha amsha kama kina mwanaisha hao
Ila sema huyu unaezakaa nae siku 2 ukamchoka
Ila sema huyu unaezakaa nae siku 2 ukamchoka
Dada mzuri
Sijui mrembo hata sielewiNi mzuri au ni mrembo?huwa nachanganya hapo
HahahaHawana amsha amsha kama kina mwanaisha hao
Asee hiki kitu kiko vzrMshubate hakuipata hiiView attachment 1260915
Mzee kumbe ulozi wako wa kisasa kabisa....una mpaka vitabu😂😂😂
😆😆😆Sawa sawa mkuuKidigitali zaidi... Hapa nimetumia fursa
Good morning Mr. sumbai, nimemiss vitu vizuri usiku.Gooood morning jeiefuView attachment 1261058
Hahaha kwa hiyo leo mkulu anazungumza...!Mjiandae twende kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mzee Mkapa
Naam, Leo kaa umsikie mkulu ,ataongea nnHahaha kwa hiyo leo mkulu anazungumza...!
Naomba itangulie PM kabla sijaanza kuliaBora umetokea eneo hili nibariki moja dear
😂😂😂Humu kuna wenye
jinsia moja
jinsia mbili
jinsia tatu
wengine hawana jinsia.
Kuwa makini tu