kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,677
itakwenya?Sovai....
itakwenya?Sovai....
All is Well. Mvua zinanyeshaaWa ‘alaykum al-salaam
Wazima kanda za baridi huko?
Mkuu







na kweli maana dadaako akili zake zinamtosha mwenyewe
Atapokea tuuu. Sema atanifanyia makusudi ataongea kama mbaba
Hahahahha sitaki kupoteza uaminifu.
Napigilia Msumari,, kimsisitizo zaidi..
Sema vyenye wanawake kwenye mapenzi tunajifanya tunajua sana kutumia hisia kuliko akili,, kesi kama hizo hazitakuwepo..
Mkuu
Napenda sana haya ma picha
Nataka nije ninunue camera nzuri niwe napiga picha za hivi