DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Sisi ni concerned citizens of this thread. Hatuna nia mbaya shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtuacheeee
Sisi ni concerned citizens of this thread. Hatuna nia mbaya shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtuacheeee
Hivi yako ulishaweka ee?Tunakumbushana chat na picha.
Bora umetokea eneo hili nibariki moja dearHivi yako ulishaweka ee?
Ukiweka please pleaseee nitag
Mimi ujue mtu mzima sana dear miaka 55 sio midogo sasa mobutu hata 30 hajafika si mtoto wangu huyoJamaa anajimwambafai eti we ndio wa ubavu wake kumbe mwongo nisamehe dada.
Mimi lilivyoona nilizima simu,nikatoa betri,nikavunja laini,nikanywa pombe kwa hasira,nikalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo uko namuona kwenye stts ananiringishia mikono na ya kaka akee [emoji1787]
Kumbe unaona sasaHapana dear
Hizo ni air max
Supla ya kizamani yale,[emoji23]
Bora umetokea eneo hili nibariki moja dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamjaza mwenzioni wivu tu ndo zetu wabongo zama PM mzee mwenzangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo usiowajua ni kwamba ni wanaume
Kwani kashashuka kwenye ile Vitz/IST?
Hahaha kweli nilikuwa nakutega halafu sikutegemea kuitikiwa vizuri vileHahah nilijua tu wanitega...kaone vile
Dadake punguza kidogo mwili ule uwe na miaka 55 siamini.Mimi ujue mtu mzima sana dear miaka 55 sio midogo sasa mobutu hata 30 hajafika si mtoto wangu huyo
Eeenh@shunie
Hivi kwanini hunitaki kiasi hiko
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Anza wewe dear😘Hebu tuweke picha moja moja tumuaibishe shetani 😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaká wapi tunaongea kwa code we endelea kuzima simu na kunywa pombe tu dada katekwa na mahabaHahahaha nimeona hyo..kumbe ni kakaMimi lilivyoona nilizima simu,nikatoa betri,nikavunja laini,nikanywa pombe kwa hasira,nikalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni kaka,ngoja niamke sasa
Hizi picha ninazopost ujue za mdogo wangu wa mwisho dadaDadake punguza kidogo mwili ule uwe na miaka 55 siamini.