Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
@Hawachi mi sina ubaharia wowoteAcha kumuharibia baharia mwenzio![]()

Am happily married to shunie
@Hawachi mi sina ubaharia wowoteAcha kumuharibia baharia mwenzio![]()

Huyu ni one of my best friends shemeji kaenda ukweni masaa matatu yaliyopita anarudi kesho jioni.Rafiki au shemeji etu mtarajiwa mkuu ?
Hapo itabidi ufanye route zipishane vizuriHuyu ni one of my best friends shemeji kaenda ukweni masaa matatu yaliyopita anarudi kesho jioni.
Humu kuna wenyeMkuu kumbe we ni mke
Hahaha kweli nilikuwa nakutega halafu sikutegemea kuitikiwa vizuri vile
Hasa atanifumaniaje na rafiki yangu.Hapo itabidi ufanye route zipishane vizuri
Vinginevyo tutakukosa mkuu, fumanizi
Ndiyo mkuu ni maeneo fulani vijijini kuna baridi sana.



Wanawake hawatabirikiHasa atanifumaniaje na rafiki yangu.
Mimi ujue mtu mzima sana dear miaka 55 sio midogo sasa mobutu hata 30 hajafika si mtoto wangu huyo
Unapenda uzee wewe!Mimi ujue mtu mzima sana dear miaka 55 sio midogo sasa mobutu hata 30 hajafika si mtoto wangu huyo
Much know,unampiga chiniumeongea vizuri sana!
Namimi siwezi kutoku kuaminisha unavyoamini.
Hahaha kwaiyo huu mwili ni mtu mwingine. Basi sawa
Kwahiyo mimi sio mzeeUnapenda uzee wewe!

Niko poa we mzee hofu kwako tuLeo mekuweza...uko poa lakini maana JF hata huwa hatukumbuki kujuliana hali
Khaaaa@Hawachi mi sina ubaharia wowote
Am happily married to shunie