Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Mpendwa aliniahidi bae wake mpaka ampe ruhusa hakunirushia best.Naomba itangulie PM kabla sijaanza kulia
Mpendwa aliniahidi bae wake mpaka ampe ruhusa hakunirushia best.Naomba itangulie PM kabla sijaanza kulia
Sio yake, me nataka yakoMpendwa aliniahidi bae wake mpaka ampe ruhusa hakunirushia best.
Mmmh dear yangu nimeweka karibia kumi humu hujaziona best leo mb za mawazo 😁Sio yake, me nataka yako
Mshubate hakuipata hiiView attachment 1260915
😂😂😂 unanitaka nini mpaka univizie?Yaani wewe nakuvizia kila siku ..leo nimekutana na vikombe vya kahawa ...
Daadeki![]()
Zitangulie Pm tafadhali 😔😔Mmmh dear yangu nimeweka karibia kumi humu hujaziona best leo mb za mawazo 😁
😂😂😂Hii ofisi naijua
Eeeeiiishhh!!!
Ndio hatuwezi Ku share kama nyinyi msivopenda ila tukijua reaction yetu inakuwa tofauti na nyinyi
In case kwa swala LA mke hio ni world war three
Ila najua haupo serious 😂asubuhi njema
Okay unataka kujua kwanini?? Ni kwa sababu wanawake tunapenda kweli ndiyo maana tukijua kuwa tunashare tunaumia ila ninyi hampendi kweli ndiyo maana mkijua kuwa mnashare hamuumii!!
Kama ulivyosema hapo kwamba kwa mke itakuwa ni vita ya tatu ya dunia ni kwa sababu huyo mke unakuwa umempenda,, hata sisi wanawake tusipopenda na tukajua kuwa tunashare wala hatuhangaiki..
Kama kawa tuuu.. ataongea zile wanazokula henNaam, Leo kaa umsikie mkulu ,ataongea nn
Umeongea ukweli mtupu
Katika mabandiko yako yote humu ndani hapa ndo nakubaliana na wewe