MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,362
- 22,372
Mkuu Lovelovie kheri ya siku ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.
Enjoy for the rememberance ila wakumbuke waliokuleta kama wapo .


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lovelovie kheri ya siku ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.


Uvuvihuu
Helloowww babuu!! Unaelekea wapi babu??
Naomba efu kumi kumi 2
Pametuna 😂😂😂
Leo ni siku ya Kliniki yangu ya Macho, Uzee unanitesa Babu yako🤪Helloowww babuu!! Unaelekea wapi babu??
Heee maji mara 1, hakataagi
Nikutumie kwa Basi au kwa simu tugawane Tozo na Serikali?🤪Naomba efu kumi kumi 2
Lol pole sana babuu! sasa si bibi angekupeleka jamani huko barabarani utaona alama vizuri kweli babu??Leo ni siku ya Kliniki yangu ya Macho, Uzee unanitesa Babu yako🤪
Happy bday mrembo, maisha marefu kwako

Nimeomba usaidizi wa Mjukuu 🤪Lol pole sana babuu! sasa si bibi angekupeleka huko barabarani utaona alama vizuri kweli babu??
Kama hivo ni vizuri !! Safari njema Babu Enjoy your weekend!!Nimeomba usaidizi wa Mjukuu 🤪
Kwa simuNikutumie kwa Basi au kwa simu tugawane Tozo na Serikali?🤪
Watakaoelewa kunyampa ni wachache sana haya bana kanyampe salama.
😂😂😂😂Watakaoelewa kunyampa ni wachache sana haya bana kanyampe salama.
Sent using Jamii Forums mobile app