National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Kazi nafanya yani nafanya kazi mno.Dada hiyo ni uwongo bana
Ungekua na vikucha vizuri hivo😁
Sidhan hata kazi unafanya jaman
😋😋😋😋AsanteeKaribuni tujiumize😂
View attachment 2420099
😅😅😅😅 Sema bi mkubwa wako ni 🔥🔥🔥🔥Swadakta kabisaaa 🤣 unaeza pewa hata kesi ya murder kisa tu wowowo la Rumaiya
Vp umemuelewa bi mkubwa wangu nini mkuu National Anthem😅😅😅😅 Sema bi mkubwa wako ni 🔥🔥🔥🔥
😅😅😅 Hata nikiwaelewa hawanitaki kabisaa, kama nina ebola vile 🤣🤣Vp umemuelewa bi mkubwa wangu nini mkuu National Anthem
Niambie shangazi Antonnia mpenthi 😁😁😁Nakwambia saivi kafika za dec 2021
Usiseme hivyo bana i can feel your pain alafu bi mkubwa yupo single ila utawezana na ile tandam? 😂😅😅😅 Hata nikiwaelewa hawanitaki kabisaa, kama nina ebola vile 🤣🤣
Chuchuuuu tototooooo ajigijigiijiiii 🥰🥰🤣🤣🤣🤣 kwani familia mmenishinda?
Asante MjukuuKama hivo ni vizuri !! Safari njema Babu Enjoy your weekend!!
Alhamdulillah namshukuru Mungu hofu ilikuwa kwako ila baada ya kuona msosi mezani nishajua u bukheri wa afya. 😁 Ndio umegoma kurudisha Yna2 🥺
Rudishaa mama ninihuuuuInapendeza
Yna2 haiwezi Rudi kijana wangu..baki hapo hapo kwenye rumaiya 😂
Sawa, ngoja nikutumie ili Tozo ikajenge vyumba vya madarasa 🤪Kwa simu
Wote na serikali tufaidi