Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
👋👋👋👋Baaadae Selfika
muwe na siku njema .
👋👋👋👋Baaadae Selfika
muwe na siku njema .
Hamna kitu ka hicho yaan tukio moja uwe stronger kweli🤣🤣🤣🤣Anifatilie nn 😂😂
Me atapotea
Me tukio 1 limenipa u strongest balaa
Sahivi nimekomaa mpk nimekoma mwenyewe 😂😂😂😂
YesssHamna kitu ka hicho yaan tukio moja uwe stronger kweli🤣🤣🤣🤣
Thubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!🤣🤣🤣 Tupe na yako au wee ndo strong-stronger-strongest😃
Mkuu hicho kitobo hapo kwa mfuko huwa na kazi gani..😃
Kumbe na wee bado kabisa.. matukio tanakuwaga 3 na kuendelea wee.. umejiamulia tuu ila natural bado subiei sasa😁😁Yesss
Ni kama tu field work inavyoongezwa kwenye working experience
Weeeeehhh!! Hebu niendelee kusoma koments tu mie!!Tuachie sisi wakongwe na wazoefu wa haya mambo 🤣🤣
Boya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiii😃😃😃😃Thubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!
Si nimejizima data mdudu 🤣🤣😂😂😂 uzuri ni kwamba you know each and everything ,,sasa hapo mdudu nakusaidiaje 🤣🤣🤣
Mnoooooo!! Kumbe Wanijua vizuri!! Santo sana!! 👍Boya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiii😃😃😃😃
🤸🤸 kama kawaidaaaaSi nimejizima data mdudu 🤣🤣
Kakake acha tu, nimekua tu mpoleUnakubalije atekwe kizembe![]()
Hahahahahaaa🤸🤸 kama kawaidaaaa
Niko tu hapo nasubiria kupigwa tukio la 2&3?Kumbe na wee bado kabisa.. matukio tanakuwaga 3 na kuendelea wee.. umejiamulia tuu ila natural bado subiei sasa😁😁
??It depend wewe...![]()
Boya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiii😃😃😃😃Thubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!
🤣Zinatosha savanna ngapiShauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177