Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alafu Antonnia anakukubali sema ni na aibu we ni mtoto wa town ushajua udhaifu wa tonnia ni nini na wewe mwenyewe huna njaa mshibishe mtoto huyo uone kama hajaja kukuanzishia thread mnyamwezi wangu.
Mie huyoooo 😳😳😳😳! Sitaki hekaheka na jf kabisa sikuhizi napambana nahali yangu tu nduguuu!! Sitaki kugombana namtu tena humuuu better not!!
 
Alafu Antonnia anakukubali sema ni na aibu we ni mtoto wa town ushajua udhaifu wa tonnia ni nini na wewe mwenyewe huna njaa mshibishe mtoto huyo uone kama hajaja kukuanzishia thread mnyamwezi wangu.
Aaaah! Antonnia huyu ? Ungekuwa unajua namna nilivyopambania na namna alivyokaza acha tu.. siri ya mtungi aijua ni kata.. imagine kanitwisha block kila sehemu, kidogo hapa na mie ndio napata uwanja wa kutapika yaliyo moyoni..
 
Hapa ndio mnapo fail, hakuna mwanaume mgumu, mbele ya mwanamke ambae anamfanya kujisikia furaha.. mwanaume ukishaweza mfanya kuwa na furaha na akakufurahia .. hakuna kitu utataka akatae uta enjoy katika utoshelevu utapigwa suprise nyingi sana
Inshort mwanaume akikupenda na mkapendana vizuri hatokupa sintofahamu zozote na maisha yatakua mazuri na marahisi mno, hata ukienda nje ya mstari atakuelekeza atakurudisha back on track.

Na huyu mtu hautahitaji kufanya any extra duties ili umuimpress sijui ndio asikuache (utafanya tu majukumu yako ya kawaida as his partner na ataappreciate all of it) sababu anakupenda labda tu mje mchokane hapo sasa ndio chapter nyingine inakuja.
 
Aaaah! Antonnia huyu ? Ungekuwa unajua namna nilivyopambania na namna alivyokaza acha tu.. siri ya mtungi aijua ni kata.. imagine kanitwisha block kila sehemu, kidogo hapa na mie ndio napata uwanja wa kutapika yaliyo moyoni..
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Mie ukinikwazaa siongei wala kusumbuka ... Poker nasema uongo??🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Mjomba akili yako wewe mkeo ana kaziiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! Ila unaonekana mtu akikufurahisha pia atafurahi naroho yakee!!
 
Aftatu hapana huo ni udhalilishaji wa mbususu. Alafu kwanini usiwe straight umwambie mtu mi bila 100k au 200k sifanyi kitu. Kuliko kupotezeana muda. Ndio maana mi wanasema nina dharau ila niko straight nakwambia kabisa nataka kuichakata mbususu shs ngapi unataka! Over mbwembwe nyingi sina.
Vizuri , umenyooka
huna mbambamba.
 
Aaaah! Antonnia huyu ? Ungekuwa unajua namna nilivyopambania na namna alivyokaza acha tu.. siri ya mtungi aijua ni kata.. imagine kanitwisha block kila sehemu, kidogo hapa na mie ndio napata uwanja wa kutapika yaliyo moyoni..
Broo pambania kombe kiutu uzima mwanaume usikubali kushindwa pamoja nakwamba unakatishwa tamaa. Antonnia na hela ni kama nyuki na mauwa kazi kwako National Anthem
 
Inshort mwanaume akikupenda na mkapendana vizuri hatokupa sintofahamu zozote na maisha yatakua mazuri na marahisi mno, hata ukienda nje ya mstari atakuelekeza atakurudisha back on track.

Na huyu mtu hautahitaji kufanya any extra duties ili umuimpress sijui ndio asikuache (utafanya tu majukumu yako ya kawaida as his partner na ataappreciate all of it) sababu anakupenda labda tu mje mchokane hapo sasa ndio chapter nyingine inakuja.
Mwanaume anafurahishwa, mwanaume kuwa na furaha na wewe lazima ufanye kitu. Usipofanya kitu hawezi furahishwa na wewe na ndio hapo anaenda tafuta furahishwa nje.. Mungu mwenyewe tunamfurahisha na matendo flani, na tunaweza muhuzunisha pia na ndio Baba wa upendo sembesu mtu
 
Aiiiiii kwamba mwanamke haitaji kufurahishwa? Mbona mnajiendekeza hivyo jaman

Atatimiza vipi majukumu yake as your partner kama kila siku unampa vilio?
 
Back
Top Bottom