Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema kuna neno moja alikuambia ndio nimeyaelewa maneno ya Lenie nadhani kama sio jana basi ni juzi alikwambia yeye ni mtu mzima na sio mtoto hatongozwi hivyo! Kwahyo mi nkajua ndugu yangu National Anthem ungejiongeza ila ukala kona 😂😂
Wapi, kanitupa kisomi huyo.. mie mwenyewe mtu mzima.. najua ila kaamua kunikataa .. PM hataki kuniona, kumfata kule mkoani kwao hataki , hataki chochote kutoka kwangu nafanyaje hapo 😅😅😅 hadi akaamua kuniambia live natwanga maji kwenyw kinu 😅😅
 
🤣🤣🤣🤣 hela yenyewe aftatu ila mnataka utamu full, ah sio haki
Aftatu hapana huo ni udhalilishaji wa mbususu. Alafu kwanini usiwe straight umwambie mtu mi bila 100k au 200k sifanyi kitu. Kuliko kupotezeana muda. Ndio maana mi wanasema nina dharau ila niko straight nakwambia kabisa nataka kuichakata mbususu shs ngapi unataka! Over mbwembwe nyingi sina.
 
Lol umenikumbushaaaaa.... kuna kipindi nilikua natumiwa surprisess mara kale lunch mara kanunue hiki kileee Alooooooohh imebaki history ussshhhhuuuuunggguu 🤣🤣🤣😁😁😁😁!!
Hapa ndio mnapo fail, hakuna mwanaume mgumu, mbele ya mwanamke ambae anamfanya kujisikia furaha.. mwanaume ukishaweza mfanya kuwa na furaha na akakufurahia .. hakuna kitu utataka akatae uta enjoy katika utoshelevu utapigwa suprise nyingi sana
 
muende makwao kwanza kabla ya kuwala aisee .
mfahamike hata ,sio muwache dilema
Unasubiri mtu akajitambulishe unadhani ndiyo kigezo cha kutokuachwa? Hivi unatujua au unatusikia. Mi binafsi niliwahi kujiita paulo nikaenda huko mbeya kwa kina Saint Anne na bdo nilimuacha kwenye mataa 😂 amebaki kuniita mbwa tu mpaka leo.
 
Aftatu hapana huo ni udhalilishaji wa mbususu. Alafu kwanini usiwe straight umwambie mtu mi bila 100k au 200k sifanyi kitu. Kuliko kupotezeana muda. Ndio maana mi wanasema nina dharau ila niko straight nakwambia kabisa nataka kuichakata mbususu shs ngapi unataka! Over mbwembwe nyingi sina.
Bei elekezi ni muhimu ili msizinguane mwishoni au sio
 
Kwani mie nataka mambo ya ajabu sasa, mie nataka kukupenda tu, haya mengine sio issue nishakutana na kila aina ya maajabu so hakuna jipya, ila natataka kukupenda tu
Mie sivai vikukuuu mjombaaa sivai shangaaaa sina hata nilijualo mie niache nimalizie uzee wangu na Mjeda wanguu nyie mambo yenu siyaweziiii mambo yenu mazitooooo🤣🤣🤣🤣
 
Abeeeeeeh my love, hii tuhuma nimeisikia sio mara 1, afu had kuna mtu aliwahi nijia PM kuhusu suala la mie na Mjep, nliishia kushangaa tyuuh.

, yaan hii JF ina visa na mie wallah. Labda aje yeye mwenyewe atoe ufafanuzi. Lol
Huna haja ya kuongea sana.just drink beer
 
Wapi, kanitupa kisomi huyo.. mie mwenyewe mtu mzima.. najua ila kaamua kunikataa .. PM hataki kuniona, kumfata kule mkoani kwao hataki , hataki chochote kutoka kwangu nafanyaje hapo 😅😅😅 hadi akaamua kuniambia live natwanga maji kwenyw kinu 😅😅
Alafu Antonnia anakukubali sema ni ana aibu we ni mtoto wa town ushajua udhaifu wa tonnia ni nini na wewe mwenyewe huna njaa mshibishe mtoto huyo uone kama hajaja kukuanzishia thread mnyamwezi wangu.
 
Mie sivai vikukuuu mjombaaa sivai shangaaaa sina hata nilijualo mie niache nimalizie uzee wangu na Mjeda wanguu nyie mambo yenu siyaweziiii mambo yenu mazitooooo🤣🤣🤣🤣
Hata mie natakuta kama wewe ndio unanifaa, hao wenye shanga na vikukuu mie siwapendi, nakupenda wewe .. ila fresh kama una mtu wako na umeamua kumsikilizia ila na mie ujue nakupenda nataka kukupenda pia 🥲🥲
 
Back
Top Bottom