Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukitoka outing na mwamba wako make sure unachangia japo kidogo dear..
Akigoma usichangie bill basi toa cash mlipe waiter.

Kuwa mwanamke lakin pia kuwa classy..jitengeneze mwanaume akuheshimu.kuwa miss independent hata Kwa kidogo ulichojaliwa.

Mada ni ndefu hii jamani..ngoja kwanza ninywe soda hapa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nacheka sanaaa, watu walifanya yote hayooo lakini mwsho wa picha? Director anasema hiii.
 
National Anthem amemzoea Antonnia ila mpaka leo hajafunguliwa pm. Anabaki kusema ooh sisi marafiki, wapi umeona urafiki wa simba na swala.
Antonnia hataki hata kuniona PM, na kujaribu kote waaapi nimefail.. na kumulezea hisia zangu zote na mapendo yangu kwake.. nabaki nasikitika na kuumilia moyoni 🥲🥲
 
Wote humu selfika tunajua alikuwa anakutongoza ukampiga chini kaenda kwa lenie kapigwa chini kaenda kwa alayna kapigwa chini kaenda kwa sophy27 nako manyoya. Nikasikia alimbahatisha coca ndiko alikofilisikia. [emoji23] Mnadhambi ninyi [emoji23]
Kwamba mie ndo nlimchuna Mjep? Hebu Mr vocha ukuje ujibu tuhuma hizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Antonnia hataki hata kuniona PM, na kujaribu kote waaapi nimefail.. na kumulezea hisia zangu zote na mapendo yangu kwake.. nabaki nasikitika na kuumilia moyoni 🥲🥲
Sema kuna neno moja alikuambia ndio nimeyaelewa maneno ya Lenie nadhani kama sio jana basi ni juzi alikwambia yeye ni mtu mzima na sio mtoto hatongozwi hivyo! Kwahyo mi nkajua ndugu yangu National Anthem ungejiongeza ila ukala kona 😂😂
 
Back
Top Bottom