Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ishi humo humo.Hawa ni kama wehu, ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili maana wao hawana 😅😅😅..
Point of correction 😁😁
Sio kwamba hatuna akili mkuu😀ishu ni kwamba tuko na akili kubwa sana tukiamua kutumia akili zetu.
🤪🤪
Wanawake tuko na sifa mbili.
Ya kwanza ni ujenzi na ya pili ni ubomoaji..tukikusudia kufanya jambo hatushindwi.tunanata na upepo 🤣🤣
Mambo ni mengi

