Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nakushauri usiombe hela kama mtu unajua Uko na malengo nae na yeye kama anamalengo na wewe.Hahaha mnakubaliana mapema wenyewe .
asipokupa Sasa , unafanyaje ?
mie mshamba siwezi sana kuomba hela
Lakini asilimia kubwa sana mwanamke ndie umtengeneza mwanaume akawa na malengo nae.
Kila mtu anamuwinda mwenzie 🤣🤣mbwa kala mbwa
Mada ni ndefu sana hii

