Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hayo mambo sio yangu kabisaUzuri wanawake hamtupi taabu. Maana baada ya wiki tu utaanza kusikia nilijua mtu kumbe kunguni mara riziki hamuwezi kuiziba ila mtaichelewesha. 😂😂 Mara paap wanawake hatupendani 😂 hapo kwa sisi malegend tunajua mtu kashaibiwa bwana 😂😂
nyie inawachoma eeh ??
acha tujiachie leo mara moja sio mbaya

