cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,977
- 192,591
Sasa hiyo true love ipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!!