Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂 Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.
🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣
 
Ukitoka outing na mwamba wako make sure unachangia japo kidogo dear..
Akigoma usichangie bill basi toa cash mlipe waiter.

Kuwa mwanamke lakin pia kuwa classy..jitengeneze mwanaume akuheshimu.kuwa miss independent hata Kwa kidogo ulichojaliwa.

Mada ni ndefu hii jamani..ngoja kwanza ninywe soda hapa😂
Kuna watu waligeuka hadi mahouse girl na mwisho wa siku wakala mzinga akaja kuwekwa ndani slay queen fulani🤣
🤣🤣
 
Hahaaha noma aisee [emoji23][emoji23]
shughuli yako kubwa .

hivi unapendaga kweli wewe ?

wanasema ukimpenda mtu , humuombi hela sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda dear tena niki fall nazama haswaaa, ila principle zangu lazima ziwe ndani yake.

Mapenzi ni kombolela ko natengeneza mazingira niwahi kubutua.
 
Ishi humo humo.

Point of correction [emoji16][emoji16]
Sio kwamba hatuna akili mkuu[emoji3]ishu ni kwamba tuko na akili kubwa sana tukiamua kutumia akili zetu.

[emoji2957][emoji2957]
Wanawake tuko na sifa mbili.
Ya kwanza ni ujenzi na ya pili ni ubomoaji..tukikusudia kufanya jambo hatushindwi.tunanata na upepo [emoji1787][emoji1787]

Mambo ni mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo sisi hatugomi kuwapa vocha ila muwe mnatoa ushirikiano kwa kuacha pm zenu wazi. Sasa mnataka tuwatongoze huku jukwaani kila mtu ajue siri zetu?
Ila sasa mkija pm porojo zisiwe nyingi
Kabla ya kuomba no muulize mtandao gani anatumia then utume vocha hata ya buku 5

Akisha kupa no hakikisha ukituma muamala usiasahau kutuma na ya kutolea
 
[emoji23] Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.
Bora hivyo aseeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote humu selfika tunajua alikuwa anakutongoza ukampiga chini kaenda kwa lenie kapigwa chini kaenda kwa alayna kapigwa chini kaenda kwa sophy27 nako manyoya. Nikasikia alimbahatisha coca ndiko alikofilisikia. 😂 Mnadhambi ninyi 😂
😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 😁🤣🤣🤣🤣!!
 
Back
Top Bottom