😆😆😆Hao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa 🤣🤣🤣 wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
Ukitaka kuwajua vizuri filisika alafu yeye awe amebahatika kupata pesa, nakwambia nyumba utaiona ni jehanamu.Hao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa 🤣🤣🤣 wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
Well said sis 🥰Msimsikilize eti uwalee kama mtoto
Yaani baba ambaye anatakiwa aongoze familia adekezwe si atazembea hata majukumu yake atataka afanyiwe sasa
Mwanamke ndio wa kubembelezwa, tena tudekezwe hasa hatutakiwi kupata shida maana hatujazoea.
Wanaume wapige kazi watafute hela watuletee tutumie sie
Tuwache na maumivu yetu, tutameza dawa yataisha.Hao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa 🤣🤣🤣 wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
Hatuna msaada, kuleni jeuri yenu.. feminism inawaharibu sana, shitukeni mapema.. wamama zenu hawakuwa kama nyie 🤣🤣🤣Ila hii sentensi imenigusa
Depal yule mtu kagoma kunipa hela yangu eti kashaitumia, nielekeze mamlaka husika nikamshtaki
Waletrreeeeeeeeeeeee💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!! mjomba tuwachee puliiiiizzzzzz 🤣🤣🤣Well said sis 🥰
kazi ya kudeka ni ya ke na sio me .
inahitajika mtu upendwe hadi usemee poo
baba ni kichwa cha familia , he must provide ,proffess and protect his family
Asante Mama mlezi😂😂😂😂😂 tuwaleee sawa lakini no kuwa mtumwaa
Kwavile ndio 1st time wacha tumsamehePole sana 🤣🤣🤣🤣 temana nae bana
Au tumtupie kajini?
Ni story kama story nyingine Hatumsemi mtu tasavaliii...😁😁😁! Haya hebu selfika kwanza kunogesha storeeee
Wamama zetu sio sisiHatuna msaada, kuleni jeuri yenu.. feminism inawaharibu sana, shitukeni mapema.. wamama zenu hawakuwa kama nyie 🤣🤣🤣
Upendo kwanza mengine baadaye .Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!!
Nitakuwa wa mwisho kukubali mwanamke na mwanaume wanahaki sawa mpka pale wanawake tutakapoweka wazi hii haki sawa ya mwanamke na mwanaume ni ya kwenye nini na niniWanaume tuheshimiwe, tupendwe na tupewe haki zetu wanawake acheni kujifanya mna haki sawa na wanaume!
Uzuri wanawake hamtupi taabu. Maana baada ya wiki tu utaanza kusikia nilijua mtu kumbe kunguni mara riziki hamuwezi kuiziba ila mtaichelewesha. 😂😂 Mara paap wanawake hatupendani 😂 hapo kwa sisi malegend tunajua mtu kashaibiwa bwana 😂😂Hahahaha nicheke mie 😂😂
😂😂 kabisaaaKwavile ndio 1st time wacha tumsamehe
Akirudia kijini kinamhusu, kiandae kabisa. Akizingua tu tunamtupia kabla hatujamuonea huruma
Hatuna msaada, kuleni jeuri yenu.. feminism inawaharibu sana, shitukeni mapema.. wamama zenu hawakuwa kama nyie 🤣🤣🤣Ila hii sentensi imenigusa
Depal yule mtu kagoma kunipa hela yangu eti kashaitumia, nielekeze mamlaka husika nikamshtaki