Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ADC5C0B7-0DBA-4D0F-A5CB-42B5F04EB83B.jpeg
 
Naangali conv zao, kama wamekata tamaa.. shida hawaanzi jiangalia matatizo waliyo nayo.. wanaanza tafuta makosa ya Me, kwa kuficha udhaifu na makosa yao
Nakwambia leo Depal Lenie Tinsley na Antonnia kuanzia sa 12 asubuhi wanatushambulia na kufarijiana kuwa wao ni majeuri na kwamba hatuwababaishi. Mbaya zaidi wanawasifia matolu dark and handsome kwahyo wanaume weupe wamewakosea nini 🥺
 
Si Kama vile Depal alivyotushauri
tuwaleee 😂😂😂 .

oy yes sisi pia tunaweza
Msimsikilize eti uwalee kama mtoto
Yaani baba ambaye anatakiwa aongoze familia adekezwe si atazembea hata majukumu yake atataka afanyiwe sasa

Mwanamke ndio wa kubembelezwa, tena tudekezwe haswa hatutakiwi kupata shida maana hatujazoea.
Wanaume wapige kazi watafute hela watuletee tutumie sie
 
👌🏿 on point
kisa pesa mtu akudharau , hiyo hapana .
Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!! Mungu atusaidie sana wanawake!!
 
Nakwambia leo Depal Lenie Tinsley na Antonnia kuanzia sa 12 asubuhi wanatushambulia na kufarijiana kuwa wao ni majeuri na kwamba hatuwababaishi. Mbaya zaidi wanawasifia matolu dark and handsome kwahyo wanaume weupe wamewakosea nini 🥺
Hao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa 🤣🤣🤣 wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
 
Back
Top Bottom