Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mahug na makiss juu🤣🤣🤣
Kha bora kufa single kama mambo yenyewe ndio hayo
Mnaniua Mbavu walaiiiii si ndio kubembelezaa ndoa hukooo tena huku unatabasamuu na bashasha ka zoteeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Ukute keshatoka zake kuchanhamshwaaa mwili akili na rohoo huko unajitabasamisha anakuzoom tu 😏😏😏😏😏😏😏😏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Saa 7 usiku obvious atakuja kashiba mwili, nafsi na roho, wewe anakuona kama kimdudu gani sijui🤣🤣🤣
 
Kuna vijana wanajua kubembeleza wewe, mwenyewe utajikuta na chai unampikia usiku huo 🤣🤣

Ila huu ni unyanyasaji wa kijinsia jamani, ni wa kuupinga
😂😂😂😂😂😂unajua lakini kinachonichekesha?
 
Mnaniua Mbavu walaiiiii si ndio kubembelezaa ndoa hukooo tena huku unatabasamuu na bashasha ka zoteeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Ukute keshatoka zake kuchanhamshwaaa mwili akili na rohoo huko unajitabasamisha anakuzoom tu 😏😏😏😏😏😏😏😏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ukimjimbu kwa dharau ghafla anakupiga .

watu wanaosema hawataki kuolewa wako sahihi .. ndoa ni kama utumwa hivi.
 
Si tumeambiwa tuwape peace of mind dear tuwalee kama watoto tuwape uhuruuu tusiwahojihoji maswali ya kiwakiii tusiwashutumu with no reason no wivuu wa kijinga ..in Depas voice!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti uwaleee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiiiiiiiiiii
Wewe ndio huitaji kulelewa?

Kama hakupendi hata umbebe mgongoni umvalishe na pampers dyadya utaachwa tu mchana kweupeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu [emoji1787][emoji1787].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaa sana
 
Back
Top Bottom