Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu 🤣🤣.
Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa


Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria
 
siwezi unafiki mie [emoji23][emoji23]
jamni nitakuangalia macho makali , mdomo nimekunja [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujui kukaushaaa au?
 
Ooh inahuzunisha kwa kweli

Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko .
Aki me ningemrushia kiatu huyo aliyenitambulisha kama house girl
 
Saa 7 usiku obvious atakuja kashiba mwili, nafsi na roho, wewe anakuona kama kimdudu gani sijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufaaaa mie. Wallah
 
Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa


Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria
shida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana

arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
 
Back
Top Bottom