National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Zawadi gani ๐๐Uniletee dhawadiiii ๐๐
Zawadi gani ๐๐Uniletee dhawadiiii ๐๐
The real African biuriiiiiiiiii ๐๐๐๐!! Dimpozzz hizoo๐๐๐๐๐๐๐๐
Ndio ivo mamaaa!Akya nani
mbona kazi nzito hiyo
In short unmuache afanye vile anavyotaka .
Ukifanya inahitaji umuignore piaNdio ivo mamaaa!
Hahahaaa!!Ukifanya inahitaji umuignore pia
moyo huu umeumbiwa nyama
Surprise me.... ๐Zawadi gani ๐๐
WeeeUkibarikiwa pregoo ukapenda nitakutumia maboksii kibaooo ya buree kabisa!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ ndio wanapendaaSi tumeambiwa tuwape peace of mind dear tuwalee kama watoto tuwape uhuruuu tusiwahojihoji maswali ya kiwakiii tusiwashutumu with no reason no wivuu wa kijinga ..in Depas voice!!
Labda kama hamna shughuli zingine za kufanyaSi tumeambiwa tuwape peace of mind dear tuwalee kama watoto tuwape uhuruuu tusiwahojihoji maswali ya kiwakiii tusiwashutumu with no reason no wivuu wa kijinga ..in Depas voice!!
Kweli dearHahahaaa!!
HaswaaaahIla mna mchango mkubwa sana kwa jamii, walimu mzidi kubarikiwa sana tena mno![]()
![]()
๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ!Labda kama hamna shughuli zingine za kufanya
Huo muda bora ukabembee kwenye bembea za watoto
Na mahug na makiss juu๐คฃ๐คฃ๐คฃKweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu ๐คฃ๐คฃ.
DadeqMlezi wa wana endelea kulea tall dark handsome ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bado dada mtu yupo?Dadeq
Hatoboi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Heri maumivu at once kuliko maumivu per day
Ndioo dear... T Unaniua Mbavuuuuu ujue!!Kweli dear
yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu .
Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu ๐คฃ๐คฃ.
siwezi unafiki mie ๐๐Na mahug na makiss juu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kha bora kufa single kama mambo yenyewe ndio hayo
Uvumilivu huo hapanaNdioo dear... T Unaniua Mbavuuuuu ujue!!
Kuna vijana wanajua kubembeleza wewe, mwenyewe utajikuta na chai unampikia usiku huo ๐คฃ๐คฃsiwezi unafiki mie ๐๐
jamni nitakuangalia macho makali , mdomo nimekunja ๐คฃ๐คฃ