Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

shida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana

arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
Ile harufu ya chapombe ukute anataka kukubusuuuu uwiiiii😏😏🙌🙌🙌🙌🙌! Mwanaume chapombe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Naonaga Wengine wanafujooo ni mingumi tyuuu uwiii
 
Nilitambulishwaaa n binamu yake, tulipotoka hapo eneo, nkamuambia haya binamu kawasalimie shangazi na mjomba, toka hapo had leo imebaki story.

Sitaki unafiki na kufake kwenye mahusiano, siweziiiiiiiiii.
Pole aisee 😂
mahusiano ni pasua kichwa
kizazi kigumu , pesa hakuna , mapenzi yanasumbua
 
Back
Top Bottom