Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20221114_123744_Instagram.jpg
 
Ndio ndiooooooooo kumbe!!!! Ngoja nishikilie sweetdaddie Wangu miee aweeee💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸!!!
Hizi busara mdogo wangu si umpatie mtu peace of mind jamaneee umeongea pointtt nimeipenda hiii😍!!
Shikilia kabisaa na mpe peace of mind kama zoteeee 🤸👌


😂😂😂😋 awoteeee
 
Eti jamani ? Hapo si mtu utakuwa shindikanaa wa kimataifa [emoji23][emoji23] ndo mtoto wa mtu tena anashindwa kukuweka ndani.

Ten yrs mbali, hapo tu 5yrs ni mzikii mzito kufika mkiwa mnahave fun,, labda iwe alikuweka ndani ukashindwa kuprovide peace of mind [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majasusi huwajui na wakavu balaa.
 
Mhh labda kwako unaweza..

The point of having fun, no strings attached mwisho mwaka 1 tu. Mkizidi sanaaa, yan mkanogeana sana basi msizidishe mi3

10yrs umeshikiliwaga tu na mtu ambaye hana future? Haha hapana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaaa.
 
Back
Top Bottom