Amani kama amani tu ndio msingi wa mambo mengi πNdiiiooooo! Haya take note ambao hamjaingia huko ili msifanye makosaaaa!! Nimechukua hii
"Peace of Mind is everything"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchumbaaa nimechekaaa mnoo wallah.Wa PhD hawana kitu mchumba,, huwa wanawaza paper zao zilizokuwa rejected tu,, hakuna kipya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Makubaliano ni lazima wakati wa kutongozana, kuepuka kero na lawama baada ya kumwagana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi hayo mambo yamekuwa magumu.
ambao hatuna tulijualo ndo tunakoma huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi mchumbaaa.
Ndio ndio π€£π€£π€£πMakubaliano ni lazima wakati wa kutongozana, kuepuka kero na lawama baada ya kumwagana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooo.Watu weeeuweeeeeh [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] Enjoy shosssss maisha ndio hayahayaaaaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ohooooo,, nna kofi la kilo mia yaani nakuwasha moja la shingo,, af nakubeba mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi mchumbaaa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!Amani kama amani tu ndio msingi wa mambo mengi π
ππ peace of mind/ stability mtu katoka kazini kavurugwa na kazi zake anafika home unamuwashia sauti eti Amina ni nani π
Weeuh π
Km hakukuwa na makubaliano ya kuoana au ndoa, hata mkidate 10 yrs na kumwagana hapo hakuna lawama au kero.Sio lazima babe
dating for three years hapo mmekaa muda mrefu , ushajiwekea Hadi plans kuwa mtakuwa pamoja hadi wazee
Wana shida hao,, unakuta mtu kapeleka paper 4 au 5 zote zimekataliwa ni stress tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchumbaaa nimechekaaa mnoo wallah.
Weeeeee mtoto weweKm hakukuwa na makubaliano ya kuoana au ndoa, hata mkidate 10 yrs na kumwagana hapo hakuna lawama au kero.
Hahhaa pole aiseeAtajua mwenyewe hata mm nilishaachwa kanisan bibi harusi hakutokea [emoji22][emoji22]
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inasekeeetisha sana [emoji23]
Unamuona mtu Smartii unadhani atakufit, kumbeee⦠mzoee kidogo uone rangi alizoficha [emoji119]
Dating/ mahusiano na mapenzi its all abt risk,, lakini kwenye hizo risk tunatakiwa tubebe na akili za kufanyia maamuzi.
Kwani uongo dyadyaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeeeee mtoto wewe
Hapanaaa aiseeeKwani uongo dyadyaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa shoss akee!!Makubaliano ni lazima wakati wa kutongozana, kuepuka kero na lawama baada ya kumwagana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba miaka yote hio humpi hio peace of mind tu asikufikilie kabisa!!π€£π€£π€£?Hapanaaa aiseee
10yrs tunatumiana tu? Sikubaliani jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezkanOhooooo,, nna kofi la kilo mia yaani nakuwasha moja la shingo,, af nakubeba mwenyewe[emoji23]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Makubaliano yepi utufundishe na sieMakubaliano ni lazima wakati wa kutongozana, kuepuka kero na lawama baada ya kumwagana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa c hakukuwa na makubaliano ya ndoa au kuoana dyadya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapanaaa aiseee
10yrs tunatumiana tu? Sikubaliani jamani