Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitaku bless nini shangazi yangu, moyo wangu umeinama kila nikuwazapo namna ambavyo hunitaki
Kwanza urafiki wetu utakufaaaaaaaa pili sitakua nakutania kamaninavokutaniaaaaaa tatu nitakosa uhuru wa kujiachia humuuuu hahahaaa..... Huko nishatoka Kitambo mie hizo nimewaachia kina Saint Anne nibles pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
🤣🤣🤣 alafu mkiwa kapo ndio nzuri kuwa mnataniana
.. mie nitaposha jf ili uww huru kabisaaa
 
Mi sijui hata mjomba uliza wanaomshobokeaaa labda 😁😁😁😁😁🤣🤣🤣!! Hebu tuendelee zetu kuselfika sie mambo yake tumuachie mwenyewe 😎😎😎😎😁
😀😀😀 ila ukweli nimekufa kabisa na kuoza kwako, yani dah! Nakupenda ile mbayaa yaani.. alafu umenikazia hatari.. 🤣🤣 ebu nichokoze na ka selfi nilale tuu
 
Back
Top Bottom