National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
😀😀😀 labda ana mioyo minneKwanza nafsi inakuhukumu
Jamani,kabisa unajua mtu ana familia halafu unajisogeza🙄
😀😀😀 labda ana mioyo minneKwanza nafsi inakuhukumu
Jamani,kabisa unajua mtu ana familia halafu unajisogeza🙄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!hahaha hapana chezea formula
ukiambiwa utulie inabidi mpaka akutafute .
Mie nina wivu ,siwezi kabisa mambo hayo
Ila inabidi na wewe uwe na baby wako pembeni akya nani inauma
Yaani😂😂😂😂😀😀😀 labda ana mioyo minne
Poa, Poker mzima?poa tu
habari ya siku ?
Nitwae mie shangazi, tuwe kapo ya century 🤣🤣🤣Best kapo my foot Hebu wapeleke kisonono zao hukoooo sitaki hekaheka miee!!
Ni unatakiwa utulize mshono sio kidogo dearrrr 🤭🤭🤭!!Mme wa mtu hapana aisee
Nitajisikia vibaya au wivu utanizidi
Vinaharibu Sana vidole.Umetengeneza vzuri kweli saint
Usipoweza tawala tamaa ya mwili haikwwpekiYaani😂😂😂😂
Watu Wana mioyo mipana jamani🙌
Akafie mbele.Kwa hio wige vipi?
Kwa kweliUsipoweza tawala tamaa ya mwili haikwwpeki
Hahaha ndo hapo mambo ya kurogwa yaananzia hapo aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Kaazi kweli kweli nakwambia!!!
T Naomba niendelee kuwa katibu mie pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! ✍️✍️
Kaka Smart911 sema neno,roho ya boss ledi wetu Mkemia Mahondaw ipate kupona.Best kapo my foot Hebu wapeleke kisonono zao hukoooo sitaki hekaheka miee!!
Yote ni ubatili na kujilisha upepoYeah sio poa kabisa
unajiweka position ya mke wake unaona hapana .
karma is b*tch
kwanza hela kitu gani ???
benefits za nn ?
Ndoa zina mengiii wadogo zanguuuuuu nyieee!!! !!Kwanza nafsi inakuhukumu
Jamani,kabisa unajua mtu ana familia halafu unajisogeza🙄
Aisee ila kudate na mume wa mtu dhambi 🥲Ndoa zina mengiii wadogo zanguuuuuu nyieee!!! !!
Saint Anne ? hivi we leo umekunywa pombe? yani nina mashaka tena hii weekend...Akafie mbele.
Say Yes to my request please🥲
Kweli dearYote ni ubatili na kujilisha upepo
nilisikia kama kuna hio couple...Sijui Aisee
sina habari zake ?