Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,418
Yeye gogo πππWige ndio alinionyesha jana hiyo picha na ana picha zako nyingi sana na ameniambia nikuulize kila siku unavoenda kwa mwamposa kuomba upate mume ina maana yeye ni gogo au mnyama?
BLHuo ndio ukweliiii!! Kuna wake wananyenyekea vizure tu wame zao na wanawaliza vilevile... kuna waume wanawapa kila watakacho wake zao na wanalizwa vilevileee..!! Tuishi humohumoo tu no way!!
ππππhahhahaaa
baba pasta ni tall dark and handsome eeh ?
Siku nakupitishiaSawa mamy nitafutie nionepo !
[emoji849]Acha tu, ila ndio nimepazoea najiona nitazeekea huku [emoji28]
Apia dada LenieNdio tunazo [emoji1787][emoji1787]
Ndio maana tunaringaaa
Utelezi ukiwepo[emoji3][emoji3] mmebaki na mnato tu tena wengine umeisha, wamebaki na utelezi wa kawaida
Li zuri# peace begins with a smile [emoji3589]
UsimpangieAkitoka anaenda nyumbani
Ila Saint Anne unataka ubembelezwe kwa lugha gani jamani we mremboo. Wige ndio husband material wala hataki kukuchezea bali kukuoa kabisa.Yeye gogo πππ
Utakausha mate Bure, Wige simtaki.
Haya naomba selfii yako Mr Handsomeπ
MkuuMchumba upo wapi? Saint Anne
Swali gani hilo[emoji848]Leo ulikua busy na nn?
Kama ndio amebaki huyo basi heri nibaki hivihiviIla Saint Anne unataka ubembelezwe kwa lugha gani jamani we mremboo. Wige ndio husband material wala hataki kukuchezea bali kukuoa kabisa.
Shangaa na weweMumeo anajua unamuita mtu mchumba?
Chap kwa harakaWigelekelo naomba uje huku chap!
[emoji1787]Hako kashamba kamekuja mjini Selfika mwaka huu wakati mimi na Palladino tupo tangu miaka hiyooo
Kuwajua hawa viumbeUnajua Saint Anne una moyo wa nyama na sio chuma ebu ulegeze moyo wako kwa tajiri ngosha mwenye ng'ombe zake za kutosha Wigelekelo
[emoji1787]Wige alinipokea huko shinyanga mwaka jana ni mkarimu sana na nilifikia kwenye hotel yao ni mweusi na mrefu ila shida yake ni kwamba anaendesha kipasso.
Haelewi bado[emoji848]Moja kati ya picha ambazo wige anazipenda ni ile umevaa kigauni kifupi cheusi na umesuka twende kilioni! Basi huwa yupo hoi kabisaaa.