Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama Unataka demu sema unataka aweje na mkienda viwanja je ungependa avaaje?
Unataka mwenye hips kama Antonnia
Unataka mwenye kiuno cha dondola kama Tinsley
Au awe mweupe kama Alayna
Au modo kama cocastic
Mwenye lips denda kama za sophy27
Au awe anajua kupika kama Saint Anne
Au mwenye mvuto kama Lenie
Au sauti nyororo kama Lovelovie
Au aliyeshika dini kama Heaven Sent
Au mwenye miguu ya bia kama Nuzulati
Mwenye chuchu sa sita kama Kelsea
Mwenye wowowo kama Rumaiya
Mwenye mapozi ya kimamtoni kama Lizzy
N.B vigezo masharti vimezingatiwa
Mjukuu cocastic ni mrefu kwenda chini
 
Back
Top Bottom