Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huo ndio ukweliiii!! Kuna wake wananyenyekea vizure tu wame zao na wanawaliza vilevile... kuna waume wanawapa kila watakacho wake zao na wanalizwa vilevileee..!! Tuishi humohumoo tu no way!!
Tatizo lenu mnadhani binadamu ni malaika. Sula la mpenzi mume mke kucheat ni la kibinadamu.
Ni mwanadamu mjinga pekee ambaye anategemea ukamilifu toka kwa mwenza wake.
 
Back
Top Bottom