Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,883
WapooooWanaoongelewa hapo ni wanaume hawa hawa wa hii sayari, tena bongo hii ??
Labda kama wapo wa sayari nyingine huko, asawaiz usijidanganye my sistaaa😂
Na mfano mzuri ni momo
Kama wa kwenu ni pasua vichwa poleni 😂