Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Yeye gogo 😂😂😂Wige ndio alinionyesha jana hiyo picha na ana picha zako nyingi sana na ameniambia nikuulize kila siku unavoenda kwa mwamposa kuomba upate mume ina maana yeye ni gogo au mnyama?
Utakausha mate Bure, Wige simtaki.
Haya naomba selfii yako Mr Handsome😍




