Inashawish nnAntonnia Tinsley Mjep Lizzy Lenie Carrasco putin myoyambendi Wigelekelo Post M-alone mkwepu jr habari za ijumaa hope mko mpoa na hii hali ya hewa shawishi sana.
Wanajisikia sana kumbe ☹️☹️☹️Wee hawa warembo wa jf wote wamenikataaa...ata pm zangu hawajibu
Kwani hujawahi kuopoa huku wewe?Wanajisikia sana kumbe ☹️☹️☹️
Mlivyo na maringo humu, kama mna bikra vile mmezitunza kwa waume zetu 🤣🤣🤣🤣Kwani hujawahi kuopoa huku wewe?
Jumapili ntakuepo mitaa ya bonyee supermarket ntakucheki madameDaladala zinapoishia, ukipanda boda ukamwambia akulete kwa Lenie basi umefika.
Ndio tunazo 🤣🤣Mlivyo na maringo humu, kama mna bikra vile mmezitunza kwa waume zetu 🤣🤣🤣🤣
C.c @mzab
Karibu sana, J2 nitakua home so we nicheki tu anytimeJumapili ntakuepo mitaa ya bonyee supermarket ntakucheki madame
Thobotoooo 😀😀😀Ndio tunazo 🤣🤣
Ndio maana tunaringaaa
Unabisha nini sasa 😂Thobotoooo 😀😀😀
Ati bikraaa labda ya masikioni 😀😀Unabisha nini sasa 😂
🤣🤣🤣Ati bikraaa labda ya masikioni 😀😀
Sikio linaweza poke pipe kwani hadi liwe lenye bikra valid🙂🙂🤣🤣🤣
Nayo si ni bikira lakini
Hahahaaa em niache 😅Sikio linaweza poke pipe kwani hadi liwe lenye bikra valid🙂🙂