Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mashavu hata sio diliMashavuuuu🤭🤭🤭🤭🤭🤭😘😘👌👌!! Ila sio kikubwa sana dear napenda kuwa na mashavu eti!!
Mbona Kichwa kizuri dear kuna watu wana mabichwa uwiii!
thank you dear
Mashavu hata sio diliMashavuuuu🤭🤭🤭🤭🤭🤭😘😘👌👌!! Ila sio kikubwa sana dear napenda kuwa na mashavu eti!!
Mbona Kichwa kizuri dear kuna watu wana mabichwa uwiii!
Kale kajoto jotooo safii🙌🙌🙌🙌 Mjomba lala kwanza akili ipumzike !
Bado Hujalala mjomba!!🤔🤔🤔Kale kajoto jotooo safii
Usisahau kumuamini Poker [emoji41][emoji41]
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamini
Ya aifooon 🤣Kwani unatumia mafuta gani dada 🥰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemeji shemeji Sema unamsema mtu tu [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kapikee [emoji23] masaa yote huko jf, unakula saa ngapi
Umemficha wapi mumeo PokerSijamuona leo
AmenKheee hzo notification zote jaman
Mungu ibariki club Africain siku yangu iende vizur [emoji22][emoji22][emoji22][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2411591
Sio poaKapikee 😂 masaa yote huko jf, unakula saa ngapi
Unapenda mke wa mtu?Angalau umechangamka
Haikuwa kazi ndogo
Nitakupenda daima
Una vigezo vyangu vyote
Ewe binti sayuni
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamini
hahahahaha
hahahahahaSio kweli mie mwenyewe, nimefukuzia sana humu lishangazi moja lakini wapi.. nimeishia kubandika picha zake gheto