National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😀😀 shangazi ipo tuu, mda mrefu.. ukitaka Wigelekelo ailete au kama waja ochukua mwenyewe sawa mie na wewe tenaNakuja kuifata mwenyewe mjombaaaa nianndalie aisee💃💃🤩🤩
😀😀 shangazi ipo tuu, mda mrefu.. ukitaka Wigelekelo ailete au kama waja ochukua mwenyewe sawa mie na wewe tenaNakuja kuifata mwenyewe mjombaaaa nianndalie aisee💃💃🤩🤩
Okay , very niceMimi niko Good.
Naperuzi tuu JF hapa.
Namtegemea sana Saint Anne anitengenezee njia[emoji1787] ngoja niweke juhudi![emoji3][emoji3][emoji3] ishi kama sniper , utafaidi sanaaa mzee
Nakuja mwenyewe mjomba usiwaze kabisaaa!!🤩😀😀 shangazi ipo tuu, mda mrefu.. ukitaka @wigeleko ailete au kama waja ochukua mwenyewe sawa mie na wewe tena
Okay it's a good camera ..Huamini dear ni Kamera tu sina maajabu yoyote hata!
Sijaona kweli, 🥲🥲🥲 dah! Ushunguu sana nimekosa dahnimekutag mbona mjomba wangu kwa kususa nakujuaaaa😂😂😁😘
National Anthem ! nimekuita mara mbili
Naifuta soon wee jitoe ufahamu tu mjomba!!Sijaona kweli, 🥲🥲🥲 dah! Ushunguu sana nimekosa dah
🫡🫡🫡 santeee , ndio nimeona shangazi yangu mzuriNational Anthem ! nimekuita mara mbili
Asante..Okay , very nice
Enjoy
😀😀😀 pita kimya kimya huko kwenye ma PM mwaka hauishi umenyanyua kombe lakoNamtegemea sana Saint Anne anitengenezee njia[emoji1787] ngoja niweke juhudi!
Marahaba binti,Shikamoo
How's your day going so far ?
Nimeiona Shangazi yangu ni 🔥🔥🔥Naifuta soon wee jitoe ufahamu tu mjomba!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] pita kimya kimya huko kwenye ma PM mwaka hauishi umenyanyua kombe lako
Si ndio mzuri huyoo hata tabia zake utakua unazijuaaa vizuriTinsley ni jirani bhana
Wee kumbe!!🤔🤔🤔 Nitafutie mpita kimya kimya mmoja basi mjomba wangu Shangazi ako nadodaaaahh😔😔Badilisheni style, wanao faidi hawa ma aunty zetu , ni wasio comment, wao wanaishi PM huko 😀😀😀.. sie tunao pita pita hapa kwanza inaoneka kama majobless
Wanao pita kimya kimya hata wanajulikana basi ila wapo kama wasio julikana, na ndio mashemeji zetuWee kumbe!!🤔🤔🤔 Nitafutie mpita kimya kimya mmoja basi mjomba wangu Shangazi ako nadodaaaahh😔😔
Mpole mnoo,, hawezi mikikiSi ndio mzuri huyoo hata tabia zake utakua unazijuaaa vizuri
Sasa hii ndio selfie gani, ivi nani kasema anataka kuona mguu🥹🥹🥹🥹 ebu pandisha juu kidogoView attachment 2411526Dada una kamguu kavyedii Lenie
Kwani unatumia mafuta gani dada 🥰View attachment 2411526Dada una kamguu kavyedii Lenie