CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Ukija dsm uje ni mikate ile ya waganda ya kahawa,, ntakulipa [emoji16]Ni bien mdogo Wangu habare za saii!!
Ukija dsm uje ni mikate ile ya waganda ya kahawa,, ntakulipa [emoji16]Ni bien mdogo Wangu habare za saii!!
Thats Good 😘!!Nishafungua upo wazi
Hodiiii[emoji2211]Nishafungua upo wazi
Usijareeeee kabisa desemba natia timuuuuu!! Na seneneee piaaa leo zimemwagikaaa balaaaa!!Ukija dsm uje ni mikate ile ya waganda ya kahawa,, ntakulipa [emoji16]
Yes dear 😍😍Thats Good 😘!!
Karibu jirani lolHodiiii[emoji2211]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio kitakachofuata
Kanisumbua sana
Afu ushaninyima mdogo wakoUsijareeeee kabisa desemba natia timuuuuu!! Na seneneee piaaa leo zimemwagikaaa balaaaa!!
Nimeambiwa jimbo li wazi bhana [emoji16]Karibu jirani lol
Ndio lipoNimeambiwa jimbo li wazi bhana [emoji16]
Ngoja nijeNdio lipo
Tinsley ni jirani bhanaKuna mdogo Wangu Tinsley fanya makekee basiii!! Very beautiful kigoriiiiiii ametuliaa hana mapepeee wala mambo mingi kabisaaaa.. Wifey matirioooo mmoja ameiizzeengggg!! [emoji7][emoji7][emoji7]
Haha you know the way 😂😂Ngoja nije
Sio kweli mie mwenyewe, nimefukuzia sana humu lishangazi moja lakini wapi.. nimeishia kubandika picha zake ghetosijapata,warembo wote mmewachukua
Polee,How I wish iwe hivyo mamy
lakini sio [emoji23][emoji23]
kuwa single inachosha aisee Kuna moments you need a hug lakini huwezi pata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha, nimecheka sana...Sio kweli mie mwenyewe, nimefukuzia sana humu lishangazi moja lakini wapi.. nimeishia kubandika picha zake gheto