Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Hawezi kumpataaaa !!! Shauri yako mjomba🤣🤣🤣🤣🤣 atamsaka mwenye picha
Hawezi kumpataaaa !!! Shauri yako mjomba🤣🤣🤣🤣🤣 atamsaka mwenye picha
zinachosha tu , labda nikinyoa mambo yatabadilika.Usinyoe jamaniiiii... yea tuliizoea ile hii tunahisi mgeniii😁😁😄
Nitamuambia mwenye hizi picha yupo Ulaya huko 🤣🤣Hawezi kumpataaaa !!! Shauri yako
Okay naitoaUsinyoe jamaniiiii... yea tuliizoea ile hii tunahisi mgeniii😁😁😄
Hapana usinyoe dear... japo mi nimeamua soon ntakuwekea nimenyoa hahahaaa... nakua kama kitoto cha form two kilichokomaa sura🤣🤣🤣zinachosha tu , labda nikinyoa mambo yatabadilika.
Kweli Itoe hio rudisha uloitoa JamaniOkay naitoa
Ulaya ya Nyakibimbirii😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣😁Nitamuambia mwenye hizi picha yupo Ulaya huko 🤣🤣
Zimekatika mnoHapana usinyoe dear... japo mi nimeamua soon ntakuwekea nomenyoa hahahaaa... nakua kama kitoto cha form two🤣🤣🤣🤣
Ulivo na kabebi fesi lol!!😘😘 Mimi nikinyoa hujui ni kizeee ni bintiii ni kutoto yani kukomaa si kukomaaa Binti si binti 😁😁😁😁Zimekatika mno
nitasuka baada ya kunyoa , naenda weka curl kit fresh.
Mimi nakuwa na kasura kakitoto .
ngoja tu tukate
Ile ya zamani sinayo TenaKweli Itoe hio rudisha uloitoa Jamani
Jamaniii tulishaizoeajeee doh!Ile ya zamani sinayo Tena
nimeipoteza
😍😍😍Ulivo na kabebi fesi lol!!😘😘
nilisearch picha ya yule mdada Ig, simkumbuki profile yake .Jamaniii tulishaizoeajeee doh!
Ukisuka unapendeza dear au kwakua sijajuona ukinyoa labda!!😍😍😍
ninyoe zangu kistyle flani .
nitajiona wa ajabu , ndo maana nitasuka tu
Watu wananiambia vyote napendezaUkisuka unapendeza dear au kwakua sijajuona ukinyoa labda!!
Hapana usinyoe... una kichwa kizuri Ndiomana pia unapendeza..Watu wananiambia vyote napendeza
japo kusuka unapendeza zaidi .
yeah hujaniona , ngoja ninyoe uone .
kichwa kipana tu yaaniHapana usinyoe... una kichwa kizuri Ndiomana pia unapendeza..
Wewe bado mrembo sanaUlivo na kabebi fesi lol!!😘😘 Mimi nikinyoa hujui ni kizeee ni bintiii ni kutoto yani kukomaa si kukomaaa Binti si binti 😁😁😁😁
Mimi kakwangu kadogo kama katuni 🤣🤣🤣🤣🤣 ntachekesha 😁kichwa kipana tu yaani
hakina jipya
Ebu nioneMimi kakwangu kadogo kama katuni 🤣🤣🤣🤣🤣 ntachekesha 😁