Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kweli dear ,Wewee sema kweli????!!!! aririririririiiiiiiiiii 💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸!! Wabheja sanaaaa 😘💋
shingo nzuri , uso ndo huo mdogo .
rangi sasa ndo ya mtume, macho ndo kabisa mazuri .
Kweli dear ,Wewee sema kweli????!!!! aririririririiiiiiiiiii 💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸!! Wabheja sanaaaa 😘💋
A beautiful thing 💃 kwako TinsleyLavu is a watiView attachment 2411503
Santo sana kipenzi 😘😘😘Kweli dear ,
shingo nzuri , uso ndo huo mdogo .
rangi sasa ndo ya mtume, macho ndo kabisa mazuri .
Hebu zirudie tena dadaNdio kisura.. Tena Sijui nizioshe tu nirudie tena mie hii miezi mambo nina mambo mengi doh😉😉😉😉!
Totooooo ! Samalekoooo😘✋Muone🤣
Sema naona zimechakaa sana sijui au nikiziosha nikazospray zitakaa furesh??? OnaHebu zirudie tena dada
zile nzuri ulipendeza nazo sana
hizi ulipendezaSema naona zimechakaa sana sijui au nikiziosha nikazospray zitakaa furesh??? Ona
Ngoja Nizioshe kwanza nione ..hizi ulipendeza
Yeah uzioshe kwanza naona pia zitakuwa sawa tu
Kesho mida ya saa mbili asubuhi nikumbushe nikutumie hela ukaoshe hizo nywele au ufumue usuke upya/nyigineSema naona zimechakaa sana sijui au nikiziosha nikazospray zitakaa furesh??? Ona
Yeah ufanye hivyo dearest .Ngoja Nizioshe kwanza nione ..
Asante dear
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeeerereerereeeeee 💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 Naweka alarm kabisa mbili on spot 💃💃💃💃💃!!Kesho mida ya saa mbili asubuhi nikumbushe nikutumie hela ukaoshe hizo nywele au ufumue usuke upya/nyigine
Nishapata ofa dear kesho saa mbili nikiwa nazurura humu nifukuze kwanza nikamkumbuke kaka bossi Elli pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! 💃Yeah ufanye hivyo dearest .
Mie nikisuka sikai na nywele , nawahi kuzichoka mno.
Wabheja kolomba bhageshiIiiigggweeeeeeeeeeeeeeeerereerereeeeeeNaweka alarm kabisa mbili on spot
!!
Wabheja sana rafiki barikiwaaaaa mnooooooo![]()
😍😍😍Nishapata ofa dear kesho saa mbili nikiwa nazurura humu nifukuze kwanza nikamkumbuke kaka bossi Elli pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! 💃
Mungu ni mwema rafiki huku kwema sana!
Hujapigwa kubwa kulikoA beautiful thingkwako Tinsley

Kupigwa nini???Hujapigwa kubwa kuliko![]()