Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Umeamua unitusi live T jamani 😉!!Wewe bado mrembo sana
pisi kali yetu hapa selfika
Umeamua unitusi live T jamani 😉!!Wewe bado mrembo sana
pisi kali yetu hapa selfika
Bado sijanyoa mjomba ila nina kichwa kibayaaaEbu nione
Ila down kizuriii , chini panafunika juu 🤣🤣Bado sijanyoa mjomba ila nina kichwa kibayaaa
natamani ningekuw na hako kadogo .Mimi kakwangu kadogo kama katuni 🤣🤣🤣🤣🤣 ntachekesha 😁
Nope MadamUmeamua unitusi live T jamani 😉!!
Mie zinaendaga chache kwelinatamani ningekuw na hako kadogo .
nikienda kusukwa , mabunda ya Rasta yanaenda mengi.
Kakichwa kana midomo mizuri, kweli wewe huependezi kunyoa shangazi wangu
Ooh unacho kidogo ndo maanaMie zinaendaga chache kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Ndiomana nasema nikinyoa nachekesha 😂Kakichwa kana midomo mizuri, kweli wewe huependezi kunyoa shangazi wangu
Beautiful .
🤣🤣🤣🤭😁😁🤭🤭Ooh unacho kidogo ndo maana
hauna mashavu makubwa pia
Kama mdomo kazuri hako ka Bj kabisaa 🤣🤣🤣 uwe na jioni njema shangazi nikalale sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Ndiomana nasema nikinyoa nachekesha 😂
Asante mjomba enjoy your evening..✌️✌️Kama mdomo kazuri hako ka Bj kabisaa 🤣🤣🤣 uwe na jioni njema shangazi nikalale sasa
Napenda kulala sana aisee, napokuwa na nafasi ya kulala, kuna kipindi huwa sipati kabisa nafasi ya kulalaWee huchoki kulala mjomba??!!!
Have a good time mjomba!! Ukipata muda pumzisha Akili mwaya!Napenda kulala sana aisee, napokuwa na nafasi ya kulala, kuna kipindi huwa sipati kabisa nafasi ya kulala
ona cha kwangu🤣🤣🤣🤭😁😁🤭🤭
Ningekuwa nimelala kwenye mapaja ya shangazi usingizi chap kama katoto 🤣🤣Have a good time mjomba!! Ukipata muda pumzisha Akili mwaya!
Mashavuuuu🤭🤭🤭🤭🤭🤭😘😘👌👌!! Ila sio kikubwa sana dear Mwenzio napenda kuwa na mashavu eti!!ona cha kwangu
🙌🙌🙌🙌 Mjomba lala kwanza akili ipumzike !Ningekuwa nimelala kwenye mapaja ya shangazi usingizi chap kama katoto 🤣🤣