Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,712
- 208,959
Basi nikupee yule mwinginee 😂😂😂 wa picsSasa yule ni kaka yangu jamani. Haitonoga bana[emoji28]
Basi nikupee yule mwinginee 😂😂😂 wa picsSasa yule ni kaka yangu jamani. Haitonoga bana[emoji28]
Nipo chang'ombe[emoji4]Big chance upo sehem gan nikupeleke ukafanye massage mrembo wangu bil juu yangu [emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23]yule anaringa sitakiBasi nikupee yule mwinginee [emoji23][emoji23][emoji23] wa pics
Huko hakuna massage nzuri fanya uchepuke mitaa ya michokeni basiNipo chang'ombe[emoji4]
Full body unalipa kwa masaaa Kuna nusu saa kuanzia 120k ,masaa mawili 240k na kuendelea Kuna mpk masaa matatu paleSenkyuuu, hawa professional ndo nawataka[emoji4]
Bei gani?
[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maisha haya tukipata nafsi jus mara 1 ,moja sio mbaya!Legendary [emoji119][emoji119]
Kafanyajee 😂 twende tukapige umbea basi[emoji23][emoji23]yule anaringa sitaki
Nakubal shemeji enjoy maisha yenyewe kama tanesco na dawasco[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maisha haya tukipata nafsi jus mara 1 ,moja sio mbaya!
😁Umenikumbusha mbali sana hilo neno Kijana wa Makamo 😂
yolly unamuitaje wewe ?Mpenz wako unamuita mkaka
ooh Hilo nzuri umenoga myAsante😍
Nimeshona la kuachia hadi chini,sitaki kubanwa banwa
Hivi wewe una nn 😂😂😂
Usijali Mjukuu, na vile Bibi yako anavyopenda shughuli itakuwa balaa🤗Itapendeza sana babu Fanya hivo!
Shukrani Mkuu, nilifika saa 6:12 MchanaSafari njema mkuu
Namuaminia bibi yupo vyedi sana najua hakitaharibika kitu!!Usijali Mjukuu, na vile Bibi yako anavyopenda shughuli itakuwa balaa🤗
Njema sana mamaa!!nipo mamy hapa
za mida
Kwa kweli Mjukuu, Sasa jitahidi usi muudhi Mkwe wetu mtarajiwa akaghairi kuleta hiyo Posa.Namuaminia bibi yupo vyedi sana najua hakitaharibika kitu!!