Unataka full massage au halfHivi eti barber shop massage bei gani huku Dar wajameni?
Na wapi zinapatikana?
Umeona sasa …dada zako tulilijua hili mapema sana.Sema handsome sana Aiseee
Hadi anasababisha sijiamini
Ni kama wale unawawekaga kwenye avatar..
Ila bonge la husband matirio,familia tumeopoa mtu na nusu 🤣
Full [emoji275]Unataka full massage au half
Jaman Sema nn nenda mitaa ya sinza pale Kuna massage kama unataka kukata roho ila una moyo [emoji41][emoji41][emoji41]Full [emoji275]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasahivi nakaribia kuweka picha, ikifika Disemba ntakuwa na siksi paki....
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]kukata roho tena jamaniJaman Sema nn nenda mitaa ya sinza pale Kuna massage kama unataka kukata roho ila una moyo [emoji41][emoji41][emoji41]
Full bodyHivi eti barber shop massage bei gani huku Dar wajameni?
Na wapi zinapatikana?
Full body jirani [emoji4]Full body
Half body
Body to body auuu[emoji1787][emoji1787]
Sasa si shemeji akufanyieFull body jirani [emoji4]
Nyingi ziko Masaki ,oysterbay Kuna moja ya watailand Iko Masaki inaitwa Thai nadhani wako vzr,ukitaka kuinjoi nenda za wathailand wako vzr sana kwa kweli wkao kikazi zaidi afu wanavaa kiungwana hasaaHivi eti barber shop massage bei gani huku Dar wajameni?
Na wapi zinapatikana?
Tushamwagana[emoji125]Sasa si shemeji akufanyie
Naomba nikuazime kaka mzuri, nampenda yule mukaka ila mbele ya jirani yangu sina wivuTushamwagana[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji1787]wanafanyaje haoo.!!!wabongo itakua Mimi massaji wabongo hapana!!!weeeeeeJaman Sema nn nenda mitaa ya sinza pale Kuna massage kama unataka kukata roho ila una moyo [emoji41][emoji41][emoji41]
Senkyuuu, hawa professional ndo nawataka[emoji4]Nyingi ziko Masaki ,oysterbay Kuna moja ya watailand Iko Masaki inaitwa Thai nadhani wako vzr,ukitaka kuinjoi nenda za wathailand wako vzr sana kwa kweli wkao kikazi zaidi afu wanavaa kiungwana hasaa
Legendary [emoji119][emoji119]Nyingi ziko Masaki ,oysterbay Kuna moja ya watailand Iko Masaki inaitwa Thai nadhani wako vzr,ukitaka kuinjoi nenda za wathailand wako vzr sana kwa kweli wkao kikazi zaidi afu wanavaa kiungwana hasaa
Big chance upo sehem gan nikupeleke ukafanye massage mrembo wangu bil juu yangu [emoji41][emoji41]Tushamwagana[emoji125]
Sasa yule ni kaka yangu jamani. Haitonoga bana[emoji28]Naomba nikuazime kaka mzuri, nampenda yule mukaka ila mbele ya jirani yangu sina wivu