Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Jaman mbona nipate Leo fanya selfika kidogo tu ubariki siku yanguZipo juu nyingii tafuta taratibuu
Jaman mbona nipate Leo fanya selfika kidogo tu ubariki siku yanguZipo juu nyingii tafuta taratibuu
Thank you aiseeWakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi.
Siku yako yaja. Nitakuwa mpiga picha hiyo siku.
Hamnaa mgenii humuu
Wapiga picha tumefanyaje?Thank you aisee
God's timing
wapiga picha
Mbona huyu simjui? Kabadili lini username na avatar?Hamnaa mgenii humuu
Nami naisubiri selfie ya mrembo Jovvan.Jaman mbona nipate Leo fanya selfika kidogo tu ubariki siku yangu
KheeeMatibabu ya bima hii nchi yetu bado changamoto sana
Mtu ana bima ya 612k ila magongo ya kutembelea bado anahitajika kulipia 50k ndo apewe
Kwamba bima haikavi![]()
Sijui anataka atutumie pm maana hapa tunasubir hatuoni pichaNami naisubiri selfie ya mrembo Jovvan.
Mpenz wako unamuita mkakaMuache mkaka wa watu pleaseeeee
yolly yeye hapend![]()
Acha kuongea kwa sautii basiMbona huyu simjui? Kabadili lini username na avatar?

Juu zipo nyingi tu mkuuNami naisubiri selfie ya mrembo Jovvan.
Nitaanza nawewe pm then utaileta hapa jukwaaniSijui anataka atutumie pm maana hapa tunasubir hatuoni picha
Poa me kikongwe, umri wa shangazi.Mambo
Ni ingizo jipya au umebadili ID![]()
Cocastic ushabadilikaPoa me kikongwe, umri wa shangazi.

Ubarikiwe sana mrembo mwenye premio yakeNitaanza nawewe pm then utaileta hapa jukwaani



Hapana tafadhali mimi sio huyo.Cocastic ushabadilika![]()
🤣🤣😂😂Upo single afu unashabikia Liverpool unapata wapi nguvu za kunenepa ww binti sijapenda![]()