Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Nikajua ni vitu anajitungia kwa kichwa yake, kumbe kweli kakaChalii ako
Anabonga ukweli
Hizo makitu lazima ziendane
Nikajua ni vitu anajitungia kwa kichwa yake, kumbe kweli kakaChalii ako
Anabonga ukweli
Hizo makitu lazima ziendane
Kuwa na adabu ww kijana
Hyo Raba si chini ya laki 6View attachment 2409961
Katika mazoezi magumu Kwa sisi Wazee ni pamoja na kukunja nne [emoji2957]
Hello Tuesday [emoji1635]
HahahaaaNamba ngapi
Unapenda kuitumia[emoji21]
Mwanaume mzima unaanglia tamthilia hovyoooo!!Nyie ile tamthilia ya Mrs fazilet and her daughter inachekesha sana huyu yolly yolly[emoji7][emoji7] kashaniambukiza kupenda maujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Ehhhh nipishe huko anachopenda yolly yolly[emoji7][emoji7] nipo pamoja naye na soon naangalia saloon ya mama kimbo upo nyonyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mwanaume mzima unaanglia tamthilia hovyoooo!!
Good morning babuu!! ✋View attachment 2409961
Katika mazoezi magumu Kwa sisi Wazee ni pamoja na kukunja nne 🤪
Hello Tuesday 🥂
Mzee gani ana vaa brand kubwa izo kakaView attachment 2409961
Katika mazoezi magumu Kwa sisi Wazee ni pamoja na kukunja nne [emoji2957]
Hello Tuesday [emoji1635]
Mkulima Mimi Sina uwezo wa kuvaa nusu milioni Mkuu, nimejitahidi sana maybe 100k 🤪Hyo Raba si chini ya laki 6
Ni laki 6 na elfu 75 na 650Hyo Raba si chini ya laki 6
Unaelekea kuwehukaaa... imebaki kumsuka na kumuandalia maji ya kuoga tu😂!Ehhhh nipishe huko anachopenda yolly yolly[emoji7][emoji7] nipo pamoja naye na soon naangalia saloon ya mama kimbo upo nyonyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Good morning MjukuuGood morning babuu!! ✋
Umenikumbusha mbali sana hilo neno Kijana wa Makamo 😂Mzee gani ana vaa brand kubwa izo kaka
PRADA ya vijana wewe ni kijana wamakamo tu
😀😀😀😀😀Kuwa na adabu ww kijana
Embu niache huko mlitumwa muwe single ukipendwa pendeka acha nipendwe mie niinjoi natamani duniani tungekuwa mm na yolly yolly[emoji7] tuUnaelekea kuwehukaaa... imebaki kumsuka na kumuandalia maji ya kuoga tu[emoji23]!
Sikamoo mjomba!✋😀😀😀😀😀
Marahabaaa shangazi, kumekucha 🙂🙂.. unaendeleaje lakiniSikamoo mjomba!✋