Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,526
- 235,267
Mwanafunzi wangu hawezi nifikia😂😂Mnaenda sambamba😂😁
Mwanafunzi wangu hawezi nifikia😂😂Mnaenda sambamba😂😁
[emoji23][emoji23][emoji23]lililokudondokea wakati uko doublePepo la kisukuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah ndo muwe na kauvumilivu ss. Mtafurahi mbonaKabesaaa Joan hanaga uswahiliiiiiii
[emoji1][emoji1][emoji1] mlete mzunguuuuWewe ulikua umefichwa shougaaaa ulipitwaaa ... Unajua Mwarabu????? Ndio shemela sasa!!
Kabisa kabisaFurahi mkuu, maisha mafupi!!
Na misukuma ilivyo mishamba[emoji23][emoji23][emoji23]lililokudondokea wakati uko double
Tunavumiliaa dia sema ungetuwekea saiii hata ya zamani jamaneeeHahah ndo muwe na kauvumilivu ss. Mtafurahi mbona
Woyiiiii lugha gongana[emoji12]Ila ukimkubali huyo blaza sangu wa arsenane utakula mema ya nchi
Hana mbambamba.
Kwanza hadi Eroni ametokeaKabisa kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Na misukuma ilivyo mishamba
Hata kutongoza haijui
Inang'ang'aniza tu
Ngoja lije kunitukana😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Kwako Saint Anne 😄[emoji1][emoji1][emoji1] mlete mzunguuuu
[emoji16][emoji16] nakutumia bhanaa. Nikiahidi huwa natekeleza. Hata km ya zamaniWeka tu hata za zamani [emoji847]
Hahaha, nakukubali sana mtu wangu.!!Kwanza hadi Eroni ametokea
Aisee una nyota ya juu mawinguni
Huwa hacomment hovyo,,,hebu muangalie huyu braza Kwa jicho la roho.
Braza Kuna namna umemvutia🤗Woyiiiii lugha gongana[emoji12]
Wigelekelo ni wako na mnaendana kinounaaaa noumaaaNgoja lije kunitukana😂😂😂
Tuwekee ya zamani sasahivi tuendelee kufurahia[emoji16][emoji16] nakutumia bhanaa. Nikiahidi huwa natekeleza. Hata km ya zamani
Hahaha mahela kama yoteKwanza mguu umenona huo
Nahisi yule Baba tozo huwa anaonyesha hizi picha world bank,wanatumwagia mahela[emoji3059]