Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Njoo uipate hapaNataka ice cream ya strawberry
Nakusubiri 😊
Njoo uipate hapaNataka ice cream ya strawberry
Alituma mkuu?Sijui anataka atutumie pm maana hapa tunasubir hatuoni picha
Upo na NaniNjoo uipate hapa
Nakusubiri [emoji4]
Hivi uliselfika kweli?Acha kuongea kwa sautii basi [emoji1787] [emoji23]
Kanitumia pm nenda pm yake ukatumiwe ni mrembo haswaAlituma mkuu?
Mkuu,vipi umeshamjua huyo Jovvan ? Mimi nimetoka bila bila hadi sasa.Mambo
Ni ingizo jipya au umebadili ID[emoji848]
Unasema kweli mkuu?Kanitumia pm nenda pm yake ukatumiwe ni mrembo haswa
mwenyewe nipoUpo na Nani
Yah serious yupo charming sanaUnasema kweli mkuu?
Au unataka nikaumbuke huko?
Jamaa umemuacha wapimwenyewe nipo
Ulikuwa unajiitaje mkuu?Juu zipo nyingi tu mkuu
jamaa yupiJamaa umemuacha wapi
Will do thatHuko hakuna massage nzuri fanya uchepuke mitaa ya michokeni basi
Huyo jamaa Ni wa cocastic ,kuwa makini na ndoa za watu.Kwan ww ushaachana na Ntiluseswa
Kwa bei hizo itabidi nitafute sponsor [emoji28]Full body unalipa kwa masaaa Kuna nusu saa kuanzia 120k ,masaa mawili 240k na kuendelea Kuna mpk masaa matatu pale
It depends with for how long you want service.
Afu hizo bei zilikua last year mwaka huu Niko dodoma huku sijui may be bei zimepanda
Hakika[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maisha haya tukipata nafsi jus mara 1 ,moja sio mbaya!
Can't wait ma precision air [emoji7]Will do that
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Huyo jamaa Ni wa @cocastic,kuwa making na ndoa za watu.
[emoji23]hajafanya kituKafanyajee [emoji23] twende tukapige umbea basi
Hapo najua udenda ushakutokaNina maji mdomoni kama samaki... Siwezi toa muongozo...