myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Itakuwaa msimu wa mvua za vuli umeanza..Ooh kumbe
Hali ya hewa nzuri hiyo.
Itakuwaa msimu wa mvua za vuli umeanza..Ooh kumbe
Hali ya hewa nzuri hiyo.
Ooh zitakuwa zimeanzaItakuwaa msimu wa mvua za vuli umeanza..
karibuEnjoy tu bia
Asante , natumia juice tu mie .karibu
Aunt wew ni noma
![]()





shangaziii nikivurugwaa, nakuwaje sijui. Tafrani tupu.hahahaha,ya nini?Asante , natumia juice tu mie .
Yoyote tu tamu .hahahaha,ya nini?
mie cjuagi juice gani tamu,maana sinywiYoyote tu tamu .
Maembe na passion ni nzurimie cjuagi juice gani tamu,maana sinywi
Halafu ukiwa hauna hela njaa inauma sana.Haahha kabisa
ilimradi tule na kufurahi shem zake sie
Life la chuo ngumu sana , unashinda zako na njaa fresh tu .
Acha tu dear , bora nyie wenye boom kidogo afadhali .Halafu ukiwa hauna hela njaa inauma sana.
Mimi siku bumu likikata ndio unakuta natamani nyama nyama..chips yai yaani.
Maisha yalikuwa magumuAcha tu dear , bora nyie wenye boom kidogo afadhali .
unaishi kiubishi tu ,siku ziende .
mlianza mambo ya matusi bado mpo o-level ?

Ndio anakomaaVijana wa hovyo


Kwa hiyoHapana sio mimi
niseme peer pressure ndo maana nikawa naenda kula vya watu.

Picha ya tar. 06.10.2021Naye huwa anatoa dolari
Sabuni za buku tu za magadi huwa zinanitosha

Swali zuri sana my cocaaliwapiga 3somes??? Eti shangaziiii

Mbona hukunipigia Dogomweh sina hela kwanza
napenda sehemu tulivu
juzi nimekutana na wadada hao wa mjini wananiambia habari za kitambaa cheupe .. nimewasikiliza na kuwaacha

kikubwa yamekwishaMaisha yalikuwa magumu
Zile hela hazikuwahi kunitosha
Okay , will do .Mbona hukunipigia Dogo![]()