Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aliona aibu nilivotoka nae hakuchelewa akaja akajifanya turudi nyumbani nikijisikia aibu sana

Mimi sio muongeaji Tena hasa kipindi hiko afadhali sahiz sikumwambia chochote lakini

Mara ya pili wakati tushakua wakubwa sana nikamtembelea kwake akanitoa si akaja na mpenzwake wakaanza kunywa nikasema Leo sifanyi makosa nikanywa soda moja nne nikabeba 😂😂nikamwambia nirudishe nikalale
duh huyo Dada aisee hajaacha tu
bora uliondoka mapema aisee

alitaka akufanyie marudio yake .
Mimi mtu nikikuona siendani nae , navunja urafiki aisee .

mtu hadi unaonekana una tabia mbaya kisa yeye .

No time for toxic friends
 
Aliona aibu nilivotoka nae hakuchelewa akaja akajifanya turudi nyumbani nikijisikia aibu sana

Mimi sio muongeaji Tena hasa kipindi hiko afadhali sahiz sikumwambia chochote lakini

Mara ya pili wakati tushakua wakubwa sana nikamtembelea kwake akanitoa si akaja na mpenzwake wakaanza kunywa nikasema Leo sifanyi makosa nikanywa soda moja nne nikabeba nikamwambia nirudishe nikalale
shangaziiiiiiii mie sitakiiiii. Uwiiiiiiih
 
duh huyo Dada aisee hajaacha tu
bora uliondoka mapema aisee

alitaka akufanyie marudio yake .
Mimi mtu nikikuona siendani nae , navunja urafiki aisee .

mtu hadi unaonekana una tabia mbaya kisa yeye .

No time for toxic friends
Kabisa mm uzungu siuwez Kuna watu neno aibu hawaliewag kabisa alafu anakunywa mm sinywi hapo ndo tunakosana kabisa hatuendani ila tuna kma miaka 5 hatujaonana kilamtu kimpango wake
 
Kabisa mm uzungu siuwez Kuna watu neno aibu hawaliewag kabisa alafu anakunywa mm sinywi hapo ndo tunakosana kabisa hatuendani ila tuna kma miaka 5 hatujaonana kilamtu kimpango wake

Mimi napenda uzungu ila hapana aisee sio tabia hizo .

huyo hamuendani kabisa , na bora ambavyo hamwasiliani na huyo dada ...... watu wengine wanaweza kukurudisha nyuma bure .
 
Back
Top Bottom