Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,717
- 208,986
Dah o level 😂😂hehhe sikuwa chuo nilikuwa o level 😂😂
rafiki yangu alikuwa mpana huyo , tukitoka tuition namsindikiza kwa boyfriend wake
Dah o level 😂😂hehhe sikuwa chuo nilikuwa o level 😂😂
rafiki yangu alikuwa mpana huyo , tukitoka tuition namsindikiza kwa boyfriend wake
Mazuri kivp? Kwan hapa nlichosema n uongo, akat n kweli.Huwezi kuwasemea mazuri
Kwanza ningeshangaa
😂😂😂 ukiangalia ubini unafailkape namba yangu basi, maana mie mwenye nipo hapa.. nitaangalia ubini kama ukichomoa, maana najua kwenye kusaka hostel kataangukia mkononi mwa mlezi mie
😂hehhe sikuwa chuo nilikuwa o level 😂😂
rafiki yangu alikuwa mpana huyo , tukitoka tuition namsindikiza kwa boyfriend wake
Yaani shoga yangu huyu wakati tupo O level anatoka na watu chuo .Dah o level 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee, bas hongeraa,Ndio maana nime hamia ARU.. kuna ka dogo kake na Depal acha nifanye leo lokoo mida yangu.. next week naenda TIA kufundisha kozi za kijamii nitaleta mrejesho
kwani nikamsaidia kupata hostel au akifika hapa kwangu hata kwa mwezi kuna shida gani, maana nakaa hapa hapa karibu na chuo dk sifuri unaingia chuo.. atapunguza gharama za hostel, za chakula etc😂😂😂 ukiangalia ubini unafail
Ye sijui ilikwaje
Majina saw ila mpangilio tofauti.
So ukimtafuta na langu huwezi mpata.
Na la kati ni yale majina ya kikristoo wengi wanayo
Li zuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kudadeq nitakubondaaa
Kenyewe kwanza kapo kuangahika anatafuta hostel za ndani..
cocastic eti hostel za Makongo ndio wapi? Kwa wanafunzi wa Ardhi?
ukimaliza njoo ukae kwangu, kipindi unasambaza bahasha atii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee, bas hongeraa,
Wengine sie tunawaza kusepa zetu, tunaona mda kuchelewa.
Balaaa 😂😂😂
Zile hostel makongo njia ya gobakape namba yangu basi, maana mie mwenye nipo hapa.. nitaangalia ubini kama ukichomoa, maana najua kwenye kusaka hostel kataangukia mkononi mwa mlezi mie
watoto wa dar mnapitia magumu sanaBalaaa 😂😂
siku tulienda wawili na yeye plus boyfriend wake hapo Mlimani city
tuliagiza masato , baadae shoga anatauambia bill imekuja kubwa.
yeye mwenzetu aliagiza chips sausage 😂😂
Kwan had now hajapata hostel? Hostel si zile za makongo ile pacha ya kuelekea ubungo. Au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kudadeq nitakubondaaa
Kenyewe kwanza kapo kuangahika anatafuta hostel za ndani..
cocastic eti hostel za Makongo ndio wapi? Kwa wanafunzi wa Ardhi?
Cocaaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyiee staki mie, khaaah
Depal ana mawazo mabaya tu, wakati watu tuna wasaidia binti zetu kiroho safiiZile hostel makongo njia ya goba
Kuna nafasi pale ebu ngoja nikupe namba
Duh!Balaaa 😂😂
siku tulienda wawili na yeye plus boyfriend wake hapo Mlimani city
tuliagiza masato , baadae shoga anatauambia bill imekuja kubwa.
yeye mwenzetu aliagiza chips sausage 😂😂
Acha tuwatoto wa dar mnapitia magumu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mie aceh nikae kmyaa, naana kwa heka heka na harakati zangu, ntakufa miguu nimenyoosha juu.hehhe sikuwa chuo nilikuwa o level [emoji23][emoji23]
rafiki yangu alikuwa mpana huyo , tukitoka tuition namsindikiza kwa boyfriend wake
Nakuuliza na wewe unaniuliza?Kwan had now hajapata hostel? Hostel si zile za makongo ile pacha ya kuelekea ubungo. Au?
mlianza mambo ya matusi bado mpo o-level ?Acha tu
utoto ulikuwa unasumbua ..